Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani halafu hata huyu SHIMBA YA BUYENZE kila nikilisoma jina lake najikuta nalisoma kwa ile lafudhi yao ya kisukuma kwa sababu ni la kisukuma
Jamaniiii [emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1568292269572.jpeg
 
Sasa wewe unaniita 'tahira' kama nani?? Kwani ni wanaume wangapi hawatongozi hovyo?? Acha kuuliza maswali ya kipuuzi!! Hao wanawake kukataa haibadilishi ukweli kwamba wanaume ndiyo chanzo maana ninyi ndiyo mnatongoza ndiyo ujibu sasa swali nililokuuliza je mwanaume kutongoza ndiyo hana makosa ila mwanamke kukubali ndiyo ana makosa??
Shangaa hata wewe, ila wao wakitongozwa na wanawake hawakatai hata kidogo hata wenye umri kama mama zao wamo tu
 
Huyu Saint anne kuna namna na huyu Lizarazu wake. Tangu kuche leo ameshamtag zaidi ya mara 20 (nimehesabu). Ameanza kwa kuomba msamaha wa dhati kwa kosa ambalo wala halieleweki. Nimejitolea hapa kutoa ng'ombe 70 sharti lake kuu eti lazima Lizarazu awe mshenga. Sasa tena hapa tunalazimishwa kuamini eti Lizarazu ndo anajua kupenda. Hata kama ni kumshobokea mtu this is tuu machi. Ai giva pu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Siwanyanyapai jamani nawapenda sana wasukuma maana nasikia wanaume wa kisukuma mnajua kupenda kasoro Lizarazu na yule Rais wa nchi ya Buzilayombo tu na wanawake wa kisukuma wanajua kutii

Siwezi kuachana na mwanaume kwa sababu ya kijinga kama hiyo tuliachana kwa sababu nyingine tu infact mimi napenda sana mwanaume atakayenifanya nicheke mara zote na siyo nichukie
Unataka tena kujaribu Msukuma au yule jamaa alikukifu? Ila wewe na uanaharakati huu hakuna Msukuma atakayekuweza aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Wewe na Lizarazu wako msikose kunialika kwenye harusi yenu. Ng'ombe 70 nimetoa unanisanifu tu fokasi yako yote kwa Lizarazu. Ulijulia wapi kuwa anajua kupenda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaonekana jukwaani hapa Kama anajua kupenda...au nyie hamuoni jamani [emoji14][emoji14]
 
Ralph Tyler,Mkuu, nasikitika ulichoandika ni kujaribu kubalance gender. Ukweli hauko hivyo hata kidogo. Nikuulize swali dogo tu, kwa nini inawezekana kwa mwanamume kuoa wanawake zaidi ya mmoja na isiwezekane kwa mwanamke kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja?

Sipingi kwamba mwanamume awe na make mmoja kwa sababu za kiimani lakini,, hoja hapa ni binti asiolewe na mwanamume aliyezaa this is wrong in all accounts. Labda kama ni kwa mtazamo was equality na sio uhalisia na asili.

Nakusikiliza
 
Kwahiyo ili uonekane mwanaume ni lazima ukomalie maovu ya wanawake na kuyaacha ya wanaume wenzio??
Nishakuambia una matatizo, you can't reason. Kila hoja unaichukulia personal na unatafuta kuonekana ni mjuvi was ubishi. So have your way
 
Huyu Saint anne mbona hata mimi nilishawahi kumwambia kwamba yeye na Lizarazu wanaendana na ipo siku watakuja kufunga ndoa
Huyu Saint anne kuna namna na huyu Lizarazu wake. Tangu kuche leo ameshamtag zaidi ya mara 20 (nimehesabu). Ameanza kwa kuomba msamaha wa dhati kwa kosa ambalo wala halieleweki. Nimejitolea hapa kutoa ng'ombe 70 sharti lake kuu eti lazima Lizarazu awe mshenga. Sasa tena hapa tunalazimishwa kuamini eti Lizarazu ndo anajua kupenda. Hata kama ni kumshobokea mtu this is tuu machi. Ai giva pu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Mimi siyo mwanaharakati ila ni msemaukweli hasa kwa wanaume wasiojua wajibu wao mwanaume anayejua kupenda mbona mimi sina shida naye kabisa ila nimeshaolewa na sijaolewa na msukuma nimeolewa na wa kabila langu
Unataka tena kujaribu Msukuma au yule jamaa alikukifu? Ila wewe na uanaharakati huu hakuna Msukuma atakayekuweza aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Sakayo,
Pamoja ndio wanawake wana matatizo yao,lakini vijana wengi wakiume wanapenda sana NGONO,lakini wanaogopa MAJUKUMU.Single mother sometimes wanazalishwa na wanaume waoga wasiopenda,kubeba majukumu yao,kuna baadhi ya single mother hawana hatia ila ndio hivyo walikutana na watu wasio sahihi,wasiopenda kutimiza majukumu yao ya ubaba.

Ndio maana siku hizi akina bibi na babu wanabeba mizigo ya kuwalea wajukuu,wenyewe wakikaa kijiweni utawasikia "babu yao na bibi yao wanawapenda sana wajukuu wao" ,kumbe hawajui babu na bibi wanajua nini umuhimu wa mtoto kupata malezi ya baba na mama.

Mimi single mother nisiye muonea huruma ni yule ,aliyeingilia ndoa ya mtu tena kwa makusudi ya kutaka kumchukua mume wa mtu,huyo kwangu hastahili huruma.
 
Back
Top Bottom