Nilisema Hamna kitu kama hicho.
Wala hakiwezi kutokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weka kitu cha maana mkuu torori la kazi gani hata nikiuza najua nitapata hela ya mboga tuLizarazu na Saint anne ndoa yao hata wiki haimalizi. Nabeti torori langu jipya la kubebea maji ndoa yao ikivuka wiki mje mlichukue
Na wewe ni Mnyakyusa ama?
Hata nilikuwa sijajaribu. Niliassume tu kuwa imefungwa. Yote tumeyamalizia hapa. Nitatuma wazee waje kunegoshieti mahari ila Lizarazu wako hatakuwemo kwenye msafara.Dah mzee wangu akiongeza na wake wawili watakuwa 72[emoji847][emoji847][emoji847][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
Niambie tu ..iko wazi
Siwezi kuweka ambacho sina. Toroli la maji ndo uwezo wangu ulipoishia hapo. Ng'ombe siwezi kuwagusa. Hao ni mahari ya Saint anne [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weka kitu cha maana mkuu torori la kazi gani hata nikiuza najua nitapata hela ya mboga tu
Wewe ni mwanaharakati tena radical feminist kabisa. Nimeshangaa uliposema kuwa eti umeolewa [emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Mimi siyo mwanaharakati ila ni msemaukweli hasa kwa wanaume wasiojua wajibu wao mwanaume anayejua kupenda mbona mimi sina shida naye kabisa ila nimeshaolewa na sijaolewa na msukuma nimeolewa na wa kabila langu
Bila Lizarazu kuwa mshenga Basi hakuna ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hata nilikuwa sijajaribu. Niliassume tu kuwa imefungwa. Yote tumeyamalizia hapa. Nitatuma wazee waje kunegoshieti mahari ila Lizarazu wako hatakuwemo kwenye msafara.
Umemaliza kila kitu mkuu.
Kuna singo maza mmoja aliniacha eti kapata pedeshee moja lenye mke na watoto juu linafanya kazi TISS kaenda huko kwa mbwembwe kupindua serikali mpaka ananitukana eti sina kifua kazalishwa na pedeshee limesepa sasa hivi yupo tu anahangaika kulea mwenyewe. Halafu pedeshee limegeuka katili linambonda vibaya sana. Hawa wa hivi kwa kweli hawahitaji kuonewa huruma. Shwaini zao kabisa na Mola Aendelee kuwaadhibu. Wako tayari kwenda kuharibu ndoa za wanawake wenzao kisa? Mwanamke msomi mcha Mungu unayejitambua kwa nini udate na mume wa mtu? Lengo lake ni nini kama siyo kumharibia mwanamke mwenziyo ndoa yake? Ujinga mtupu !!!
Kwa jinsi nilivyo..huo mkono mwepesi sijui anautoa wapi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yeah hatakiwi kuwa na mkono mwepesi wala hasira za karibu
Hivi unajua kwamba kutongoza humu jukwaani ni kosa?? Kuna member alimlalamikia Melo kwamba aliwahi kumtongoza Farida humu jukwaani akala ban sasa akawa anauliza eti kwani kutongoza jukwaani ni kosa!!Hata nilikuwa sijajaribu. Niliassume tu kuwa imefungwa. Yote tumeyamalizia hapa. Nitatuma wazee waje kunegoshieti mahari ila Lizarazu wako hatakuwemo kwenye msafara.
Usalama unaongelea utaupata ukiwa na mke mwenye Hofu ya kweli ya MUNGU, halafu na wewe uwe Mwanaume ambaye unamtunza mwanamke wako na kumpa haki zake.Nakuelewa mkuu, tatizo la ambaye hajapata mimba ni kuwa atakuwa na attachment nyingine pia. Kwanza kuna aliyemtoa bikira, pili wako waliomsugua vizuri. Itakuwa mkipishana kidogo tu, anakwenda kutafuta faraja kwa washika dau. Utachapiwa mapaka basi, kwani atajiona hana cha kuwaficha kwani walishamfunua uchi wake.
Unataka kuwa salama? Tafuta bikira, ni dalili njema kwamba anajiheshimu na ana nafasi kubwa kukuheshimu oia
Sisi wazima boss[emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji869][emoji869][emoji869]
Nawapa hi tu.
Siwezi kuweka ambacho sina. Toroli la maji ndo uwezo wangu ulipoishia hapo. Ng'ombe siwezi kuwagusa. Hao ni mahari ya Saint anne [emoji16][emoji16]
Mme wa pili sio mbayaNimeshaolewa Mkuu
Umetumia misingi gani kuniita mimi feminist??Wewe ni mwanaharakati tena radical feminist kabisa. Nimeshangaa uliposema kuwa eti umeolewa [emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kwa jinsi nilivyo..huo mkono mwepesi sijui anautoa wapi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weka kitu cha maana mkuu torori la kazi gani hata nikiuza najua nitapata hela ya mboga tu
weka ng'ombe watano ili nije kuwabeba vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]Lizarazu na Saint anne ndoa yao hata wiki haimalizi. Nabeti torori langu jipya la kubebea maji ndoa yao ikivuka wiki mje mlichukue
Aweke ng'ombe wa 5,,Sasa torori ntafanyia nini [emoji3]Sawa mkuu basi lipake rangi vizuri kabisa lipendeze
Mme wa pili sio mbaya