Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Dah mzee wangu akiongeza na wake wawili watakuwa 72[emoji847][emoji847][emoji847][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].

Niambie tu ..iko wazi
Hata nilikuwa sijajaribu. Niliassume tu kuwa imefungwa. Yote tumeyamalizia hapa. Nitatuma wazee waje kunegoshieti mahari ila Lizarazu wako hatakuwemo kwenye msafara.
 
Mimi siyo mwanaharakati ila ni msemaukweli hasa kwa wanaume wasiojua wajibu wao mwanaume anayejua kupenda mbona mimi sina shida naye kabisa ila nimeshaolewa na sijaolewa na msukuma nimeolewa na wa kabila langu
Wewe ni mwanaharakati tena radical feminist kabisa. Nimeshangaa uliposema kuwa eti umeolewa [emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Hata nilikuwa sijajaribu. Niliassume tu kuwa imefungwa. Yote tumeyamalizia hapa. Nitatuma wazee waje kunegoshieti mahari ila Lizarazu wako hatakuwemo kwenye msafara.
Bila Lizarazu kuwa mshenga Basi hakuna ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unajua Lizarazu akija kwetu...akiwapiga piga kizungu masister wale dah Moja kwa moja unakuwa ulishakubalika.
 
Unasikia mwanamke anakwambia "babu we wanaume wenyewe wachache acha tushikilie hapo hapo akiwa ndani ndiyo wako ila akiwa nje ni wetu" yaani mimi nikisikia mwanamke anaongea maneno kama hayo huwa natamani hata nimchape makofi yaani mtu anajivunia kabisa kuwa mchepuko wa mtu?? Shenzi kabisa!!
Umemaliza kila kitu mkuu.

Kuna singo maza mmoja aliniacha eti kapata pedeshee moja lenye mke na watoto juu linafanya kazi TISS kaenda huko kwa mbwembwe kupindua serikali mpaka ananitukana eti sina kifua kazalishwa na pedeshee limesepa sasa hivi yupo tu anahangaika kulea mwenyewe. Halafu pedeshee limegeuka katili linambonda vibaya sana. Hawa wa hivi kwa kweli hawahitaji kuonewa huruma. Shwaini zao kabisa na Mola Aendelee kuwaadhibu. Wako tayari kwenda kuharibu ndoa za wanawake wenzao kisa? Mwanamke msomi mcha Mungu unayejitambua kwa nini udate na mume wa mtu? Lengo lake ni nini kama siyo kumharibia mwanamke mwenziyo ndoa yake? Ujinga mtupu !!!
 
Hata nilikuwa sijajaribu. Niliassume tu kuwa imefungwa. Yote tumeyamalizia hapa. Nitatuma wazee waje kunegoshieti mahari ila Lizarazu wako hatakuwemo kwenye msafara.
Hivi unajua kwamba kutongoza humu jukwaani ni kosa?? Kuna member alimlalamikia Melo kwamba aliwahi kumtongoza Farida humu jukwaani akala ban sasa akawa anauliza eti kwani kutongoza jukwaani ni kosa!!
 
Nakuelewa mkuu, tatizo la ambaye hajapata mimba ni kuwa atakuwa na attachment nyingine pia. Kwanza kuna aliyemtoa bikira, pili wako waliomsugua vizuri. Itakuwa mkipishana kidogo tu, anakwenda kutafuta faraja kwa washika dau. Utachapiwa mapaka basi, kwani atajiona hana cha kuwaficha kwani walishamfunua uchi wake.

Unataka kuwa salama? Tafuta bikira, ni dalili njema kwamba anajiheshimu na ana nafasi kubwa kukuheshimu oia
Usalama unaongelea utaupata ukiwa na mke mwenye Hofu ya kweli ya MUNGU, halafu na wewe uwe Mwanaume ambaye unamtunza mwanamke wako na kumpa haki zake.

Kama bikra na wasio na watoto wangekuwa ndo wanawake sahihi tu kwa ndoa basi ndoa zinazovunjika zingekuwa ni zile za masingle mama tu.
 
Back
Top Bottom