Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kitu unachowaza hakiwezi tokeaNo one knows tomorrow my dear
Kasema ng'ombe hawezi kuwaweka kama dau hao wako kwa ajili ya mahari yako tuAweke ng'ombe wa 5,,Sasa torori ntafanyia nini [emoji3]
I pray to GodKitu unachowaza hakiwezi tokea
Trust me...
Ni mstaarabu tu Ila sio mpole[emoji3][emoji3][emoji3]Kapole mwenyewe
Tafuta prayer point nyingine...hiyo inakupotezea muda.I pray to God
Angeziweka ili aone vizuri mkeka unavyomchanikia.Kasema ng'ombe hawezi kuwaweka kama dau hao wako kwa ajili ya mahari yako tu
Basi hii ndoa itashindikana aisee. Naona ng'ombe wangu 70 wamepona. Wewe kaa na Lizarazu wako hata siku ukimkorofisha utolewe ngeu usilalamike...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734]Bila Lizarazu kuwa mshenga Basi hakuna ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unajua Lizarazu akija kwetu...akiwapiga piga kizungu masister wale dah Moja kwa moja unakuwa ulishakubalika.
Mimi sijatongoza. Wasukuma hatutongozagi. Sisi ni kupeleka mahari tu. Mengine yatajulikana huko huko mbele ya safari. Kama binti ni toli, mweupe na ana msambwanda basi kwisha kazi [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi unajua kwamba kutongoza humu jukwaani ni kosa?? Kuna member alimlalamikia Melo kwamba aliwahi kumtongoza Farida humu jukwaani akala ban sasa akawa anauliza eti kwani kutongoza jukwaani ni kosa!!
Kwa hiyo zile takwimu anazokujaga nazo Zitto pale serikali inapodanganya uma ndio utovu wa nidhamu!?Wanapata kesi kwa sababu ya utovu wa Nidhamu..ukivunja sheria lazima uwajibishwe.
Hana mpinzani ndio ..Hadi Sasa sijaona mbadala wake.
Sasa wewe ndio unaleta porojoBado wanaendelea na uchunguzi...watamaliza pale utakapokamilika.
Lina rangi za kutosha. Taa kila kona. Kengele ndo usiseme na makorokocho mengine kibao. Mpaka na kimtambo cha WiFi kabisa. Laki tatu za haraka haraka hukosi [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa mkuu basi lipake rangi vizuri kabisa lipendeze
Kwa hiyo mahari tupunguze iwe ng'ombe 65?weka ng'ombe watano ili nije kuwabeba vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sifa zote unazo dah!Ni mstaarabu tu Ila sio mpole[emoji3][emoji3][emoji3]
Ila kuongea siwezi kabisa...
Keyboard zinatuokoa na mengi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaah..Basi hii ndoa itashindikana aisee. Naona ng'ombe wangu 70 wamepona. Wewe kaa na Lizarazu wako hata siku ukimkorofisha utolewe ngeu usilalamike...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1206666
Hahaha[emoji38][emoji38]Tuuacheni huu uzi sasa urudi kwenye mada yake ya usingo maza. Tumeshauharibu vya kutosha. Bila shaka mwenyewe aliko kafura balaa. Ila kuanzia sasa Saint anne jua madarubini yangu makali kutokea huku Gamboshi yanakumulika kwa mwanga mkali sana Hubble Telescope cha mtoto. Ukijichanganya tu utajikuta uko Koromije ukipapalilia majaruba ya mpunga. Asante kwa matani rafiki. Lizarazu yeye nitagongana naye kwingine huko sema tu akianzaga makiingereza yake magumu mi nakimbiaga. Blessings to you all...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Si umebeti.Kwa hiyo mahari tupunguze iwe ng'ombe 65?
Wewe na Lizarazu wako wiki hammalizi nakwambia...
Hakuna cha mpole hapo. Angekuwa mpole angekuwa ameshanikubalia [emoji16][emoji16][emoji16]Kapole mwenyewe
Unasema ?Na kweli tumuulize mtoa mada hili swali mbona wanaume wakitongozwa na wanawake hawakatai??
Anaweza akawa yuko sawa ila anakosea namna ya kuwasilisha.Kwa hiyo zile takwimu anazokujaga nazo Zitto pale serikali inapodanganya uma ndio utovu wa nidhamu!?
Maana ndio kinachomfanyaga wamkamate mara kwa mara.
Sema tu sijui kama una mume ama la. Na kama uko toli, mweupe na mwenye msambwanda. Ningeyajua haya basi kwa ulaini kabisa ng'ombe 70 wazee wangebeba mchana kweupeee [emoji16]Si umebeti.
Naomba uweke ng'ombe watano uone mkeka unavyochanika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wale 70 wa mahari wako palepale.