Yule jamaa huwa ananifurahisha sana, kuna siku nilicheka kwenye gari hadi abiria wote wakaniangalia sababu ya post yake. [emoji1787][emoji1787]Lizarazu si ajabu ni kabila moja na Kiduku Lilo huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe funga tu mama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana hili swala ni lazima nilifungie na kuliombea
Unamuongelea ZZK au M.Mkumbo?Huyu mtu ni hatari zaidi ya hatari. Ni wa kuangalia sana. Amenyimwa zile kamati za bunge alizokuwa anapigia hela basi visasi si visasi ali mradi vurugu tupu. Hata leo huyu akipewa cheo kimyaaa hutamsikia tena. Hovyo kabisa !!!
Si umebeti.
Naomba uweke ng'ombe watano uone mkeka unavyochanika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wale 70 wa mahari wako palepale.
KiiruuHakuna cha mpole hapo. Angekuwa mpole angekuwa ameshanikubalia [emoji16][emoji16][emoji16]
Hilo siyo neno la Kisukuma. Na Kisukuma hakina kimadende /r/. Ni lugha ya huko kwenu hii [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hapo umemaanisha muongo...au nimekosea??
Mimi amenifurahisha ya juzi la utapeli wa laki mbili...Yule jamaa huwa ananifurahisha sana, kuna siku nilicheka kwenye gari hadi abiria wote wakaniangalia sababu ya post yake. [emoji1787][emoji1787]
Mmmmh.Hilo siyo neno la Kisukuma. Na Kisukuma hakina kimadende /r/. Ni lugha ya huko kwenu hii [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hapo umemaanisha muongo...au nimekosea??
Mhaya yule ana mbwembwe sana. Sawa tu na wewe ukianza kutema kimalkia. Hapo na Nyani awepo. Na Kiranga... Utatu korofi wa Wasukuma watatu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yule jamaa huwa ananifurahisha sana, kuna siku nilicheka kwenye gari hadi abiria wote wakaniangalia sababu ya post yake. [emoji1787][emoji1787]
Nimeelewa.
Umeandika acha uongo,sijui English.
Kisukuma kumbe chepesi hivi
SI unaona umeelewa.Ehee!! Hii lugha nnaielewa
Mzito kweli kuongea na kukandamiza nakandamiza haswaa kuliko hata MaguMuone[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526].
Ila nakukubali sana kwenye lugha.
Ila nina wasiwasi wakati wa kuongea utakuwa unaikandamiza na ile lafudhi yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mnagombana na maneno vile.
Duh[emoji25][emoji25]Kosa
Yesuu[emoji1751][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzito kweli kuongea na kukandamiza nakandamiza haswaa kuliko hata Magu
Nipo mwenyewe tena nimelala
Nakuona Ewe Patrice Lumumba[emoji41][emoji41]Mimi mbona sina hata yao machingereza magumu acheni kunizushia bhana.
I am just lexicographically more profound with mundane and jejune words.
Mfano kama hapo unakuwa hujaelewa kweli?
Ni lugha ya huko kwao. Ataachaje kuielewa?Duh uko vizuri
Watu tuliokulia vijijini hatupati tabu kuelewa lugha.Duh uko vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwa hata na haja ya kusoma hayo mengine. Nisipokuwa makini kweli ng'ombe wangu 70 watapigwa. Inabidi nigangamare aisee.