Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Yule jamaa huwa ananifurahisha sana, kuna siku nilicheka kwenye gari hadi abiria wote wakaniangalia sababu ya post yake. [emoji1787][emoji1787]Lizarazu si ajabu ni kabila moja na Kiduku Lilo huyu [emoji16][emoji16][emoji16]