wanaoshika namba moja huwa wanakuwemo tu,yani kwenye 10 watoke 9!!Mkuu usinichonganishe na dada yangu ule ni mfano na pale nimeweka wanawake 10 lengo ni je katika wale niliowaweka kweli 09 ni single mother?
Sikuwa na maana nyingine mkuu.
Elewa na hili singo maza kwa sasa ni tishio dunianNifuatilie interview zina nini?
Ndio sababu huwa mnazishabikia ili mpate pa kusemea, sababu huwa wanaume hamkaukagi kwenye hizo interview.
Nimeelewa sasa mkuu.
Kwani wewe siyo singo maza?Na ukimrekebisha unahesabika singo maza aiseee
Nakimbia unavyoniambia nikupe link.mbn mbio tena ,best?
Endeleen kuelewaNa mimi nimeelewa sasa....
Mmh. [emoji124] [emoji124] [emoji124]Elewa na hili singo maza kwa sasa ni tishio dunian
Huo ndo ukweli mchungu msiopenda kuusikia
Kwani wewe siyo singo maza?
Ni noma mazee humu wengi singo maza fatilia tu mkuu utawajuahahahaahahaha,huu wa JF ndio nautaka mie,kumbe humu wengi singeli mazeli
Ila mpo wengi sana...!! Kibaya zaidi wengi mnajivika ugori nyuma ya kibodi ni shisa.
Hawapo na hawatatokea kuwepoVipi single father hawapo?
Limekupata nini??Hii chai, huo utafiti umefanyika lini na wapi?
we nipe kdg chini ya kapeti,mie humu siingiagi sana,fanya hivyo mkuu ,pitisha faili moja tuNi noma mazee humu wengi singo maza fatilia tu mkuu utawajua
Tupo wengi kina nani mkuu?Ila mpo wengi sana...!! Kibaya zaidi wengi mnajivika ugori nyuma ya kibodi ni shisa.
Nimechangia madaLimekupata nini??
Unapinga kitu gan sister hapa kwa hiyo kwa makadirio yako kati ya 10 singo maza ni wangapi?Eti huwa mko wengi duuh. Mie sipo kwenye hilo kundi ila kiukweli single mother sio wengi kiwango cha kusema katika wanawake 10 wa jf basi 09 ni single mother.
Hilo nalikataa aisee
hahahaahahahaha,ngoja nianze utafiti wanguNakimbia unavyoniambia nikupe link.
Mwenzio Beira kafanya utafiti peke yake pasi kuomba link. Na weye mkuu nenda tu kafukue makaburi ya Interview ujionee ni kweli ama la.
Hao watakuwa singo visichanahuku mtaani sasa sijui tuwaitaje maana ni vibinti tu.. single binties😀