KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
wanaoshika namba moja huwa wanakuwemo tu,yani kwenye 10 watoke 9!!Mkuu usinichonganishe na dada yangu ule ni mfano na pale nimeweka wanawake 10 lengo ni je katika wale niliowaweka kweli 09 ni single mother?
Sikuwa na maana nyingine mkuu.
ndo nipo nimeshika praize hapa natafuta kamba,bisibisi zipo mfukoni,ye naona kashika mwiko! ndo nakimbilia leki milango naona imefungwa itakuwa jilani kafunga
Loading...