Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kumbuka binadamu hutofautiana na kila mmoja na Imani yake na madhaifu yake , usihukumu kundi kubwa la single mom kupitia udhaifu wa mtu mmoja
 
Sasa anarudije wakati Huyo jamaa kashaoa na ana mtoto Tayari... Au kazaa tu hajaoa!???
 
Mkuu vipi kuhusu wanaume wenye watoto nje ya ndoa wao ndiyo wanafaa kuoa maana hawafanyi usaliti??
Usitawaliwe na 50/50 boss,
Ulishasikia kuna mwanamke amekataa kuolewa na mwanaume mwenye mtoto wa nje?

Ila mwanamke, kuwa naye mmoja tu! Utakuwa Topic mtaa mzima na unaweza kupishana na bahati nyingi za kuolewa.
 
Inawezekana ni kweli hajatumia akili kurudiana na baba watoto wake

Lakini kimsingi hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuzaa na wanaume tofauti tofauti,halafu mapenzi yana nguvu kuliko akili
So arud kwa mme wa mtu sio
 
Arafu et mwanaume alishaoa sasa apo sikujui anarud wapi hahaha wanawake bhana kweli mama zetu
 
😂😂
Kuna vitu viwili wanaume hatupaswi kufanya kwa wanawake, Kwanza usimsomeshe mwanamke, pili hutakiwi kuoa single maza ni hatar kuliko bomu la nyuklia
😂😂😂 lazma atarudi kwa baharia wake tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo dogo atakuwa na vimelea vya kibaharia lazima tu. Af ukute baba mpya anawapeleka kikauzu so wamechoma utambi kwamba hawamfagilii wala nini!
 
cutelove,
Huyo mwanamke hajielewi ndio maana jamaa alizaa nae akamwacha
Na sasa anelekea kuachwa tena wala huyo baba watoto wake wa zamani hatamuoa.

Kama huyo ex wake ameweza kumshawishi na akamhurumia na kuamua kumwacha mume basi anaweza kumkubali mwanaume mwingine yeyote pia.... huyu baada ya muda atakua single tena
 
Wakakubaliana kuwa siku fulani watakutana hoteli fulani atawapeleka watoto wakamsalimie baba yao,bila mume wake kujua

Kuna mambo yanasikitisha sana...


Cc: mahondaw

siriaz yanasikitisha..Kwanini awapeleke kifichoficho? ? Huko hotelini kuna usalama kweli? ?? wanaeza jikuta wanaongeza mtoto mwingine na ex mume ujue
 
Mkuu upo sahihi kabsa atajuta Sana na Ni laaana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…