tehe tehe tehe itapendeza ukinywa pepsi baridi kwa mangi alafu mtoa mada anakuja kulipaTatizo la humu mumy eti ukichangia tu basi nawe ni mmoja wapo. Lol.
Yaani wanataka uzi ukija kama hivi wanawake wote tuukimbie. Duuh
Kwa povu hili wacha ninywe tu ila sidhani kama atanilipia. Hahahaaatehe tehe tehe itapendeza ukinywa pepsi baridi kwa mangi alafu mtoa mada anakuja kulipa
Umeoneee. Yaani kila kinachoandikwa wanakibeba kama kilivyo.amiii kuwadanganya wavulana wa jf ni kama kusukuma mlevi.
tehe tehe tehe usitishwe na povu la hapa wakati hawaishi kuwatongoza single mothersKwa povu hili wacha ninywe tu ila sidhani kama atanilipia. Hahahaaa
Hahaaa. Wanachelewa basi na kuwapa sifa ambazo hata hawajawahi kupewa.tehe tehe tehe usitishwe na povu la hapa wakati hawaishi kuwatongoza single mothers
Upande wa pili hakuna tatizo kama hilo mkuuMi Niko kamili mkuu naona utafiti wako ni mhimu japo umegusa upande mmoja
Duhkwa utafiti wangu hali hii itaongezeka sana mbeleni, Hao masingo maza wenye umri wa kati wanasumbua vijana ambao nao hulowea kwenye kulishwa, mwisho wa siku hawezi oa, na kiukweli me ni wachache sana. Na miongoni mwetu si ridhiki.
Ndo hivo momy wanawake wa jf wamejawa upweke sana[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hakuna kitu kama hicho singo maza wamejazan humu kupunguza mawazopole ukifwata maandishi Yao utahisi wapweke ila ntakupa siri 90% ya wanawake wa jf wake za watu.
Huo ndo ukweli wasiopenda kuusikiaHahahahaha hapo umeua kbs aiseee
Vp kuhusu tatizo sugu la singo maza huko kwenuHuku tuko sawa.
Yaani huku mkuu kwetu wamejaa mkuuVp kuhusu tatizo sugu la singo maza huko kwenu
Itabidi tu kweli dunia ije na suluhisho la kudumu maana sio kwa utitiri huo wa singo mazaYaani huku mkuu kwetu wamejaa mkuu
Ha ha ha ha ha ha ha haHili tatizo Tz in 10yrs or 20yrs to come itakuwa disaster kubwa sn.
Maajabu videmu havina akili. Vina leta nyodo. Ma men wana wadampu fasta.
At 20s to 35 huwa wanaona raha sana. "Wanasema Niko huru, sinabanwi, mambo ya kupangiana staki, nakula bhata hadi nachoka, club,nk"
At 40 yuko lonely balaa. Ana 4 kids, @from a different man. Hapa ndio patamu..
Weee waache tu. Nigeria & Kenya Wana andamana hawaolewi, Tz wanawake wanachezea wanaume. Subirini...kiama kinakuja.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona kiongozi.Ha ha ha ha ha ha ha ha
Yaani huku single ni wengi na wapo ready to mingle mkuuItabidi tu kweli dunia ije na suluhisho la kudumu maana sio kwa utitiri huo wa singo maza
Amekosa la kuandika!!!
Anaendana na upepoSa sijui ananufaika nini.
Au ndio kapima kwamba nyuzi za uongo uongo hasa zikihusisha wadada wa jf ndio zinakubalika majukwaani.