Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Tatizo hapa siyo Single Mother, tatizo lililoko hapa ni huyo Mwanamke kutokuwa na msimamo.
 
Hahahaaa comment imenichekesha hii mkuu,
 
Huyo unaemuona bora kisa hana mtoto, katoa mimba nane. Sio assumption ila hizo scenario zipo. Acheni kujudge watu.
 
Dah!
Inasikitisha sana.
Kijana mdogo, msomi, kutoka familia ya kiimani akapoteza maisha ghafla.

Sijui Joshua alikwama wapi mpaka kwenda kuchukua mwanamke wa ajabu ajabu, mdangaji, malaya, msanii wa bongo flavour?
Hivi Joshua kweli alikuwa anatambua heshima na namna ya wazazi wake wanavyoheshimika katika jamii?

Nilichoweza kujifunza kikubwa sana ni kuwa, kijana hupaswi kuwa mjuaji mnoo wa kimaisha, kubali kuongozwa na ukionywa kubali kuonyeka. Kiburi ni kaburi.
 
Kwa hiyo mtu asitoe mawazo yake?
Mimi ndio muoaji nimesema nisingeweza oa jitu lililozalishwa. Hao sijui Dada shangazi kwani nawaoa mimi?
Kama kazalishwa atajijua yeye
Pole sana kwa kutiwa mimba na kukimbiwa
Akilo za kitoto, ila ukienda kuangalia familia zetu zimejaa single mothers sio dada, shangazi, sjui mama wadogo na wakubwa na mama mzazi lakini kwene maandishi mnavoponda sasa
 
Bora ata aliyefanya kosa akazalishwa na akaitwa mama, mnakuja kuoa binti sjui mama miaka28_30 au wengine chini ya apo ila wengine vizazi vishazaa ata mara saba uko bila watoto kuonekana, mnachokwepa ni mtoto wa wanaume waliowazalisha??? Root
 
Mimi hapa naona tatizo ni Joshua mwenyewe, hakupaswa kwenda kuchukua mwanamke wa dizaini ile tena kienyeji enyeji namna ile. Nahisi mahusiano hayo yalikuwa yana msingi wa kifuska kifuska fulani hivi. Hivyo lilikuwa suala la muda tu, lazima yangelipuka tu.

Hivi kijana kutoka familia ya kichungaji unawezaje kwenda kuanzisha uhusiano na wadangaji wa Dar tena masingo maza?

Wakati huo huo kanisani wamejaa mabinti wazuri kinyama, wametulia, visu balaa, brand new, full package!

Mkataa pema pabaya panamwita.
 
Bora ata aliyefanya kosa akazalishwa na akaitwa mama, mnakuja kuoa binti sjui mama miaka28_30 au wengine chini ya apo ila wengine vizazi vishazaa ata mara saba uko bila watoto kuonekana, mnachokwepa ni mtoto wa wanaume waliowazalisha??? Root
Kuna ukweli fulani japokuwa kuna watu watakupinga. wachambuzi na wabobezi wanasema kuwa kuoa single mother una uhakika wa kupata mtoto hivyokupelekea kuondoa usumbu wa kuzunguka makanisani ili mtu aombewe ili kupata mtoto.
 
Uzuri ujawai nijua na hautonijua kamwe, single mother wanaolewa vizuri sana kuliko hata hao mnaowaita wabichi waliozalia chooni....BTW mi sio single mother nliolewa ndipo nlibeba mimba angu ya kwanza shost
Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
 
Mliozalishwa hamuolewi kamwe. Nyinyi ni vitafunio vyetu

Single mamaz waliozalishwa wakaachwa kwa sababu yoyote ile na wawalee watoto wao vyema kwani Mungu aliwajua hao watoto kabla hata hawajazaliwa. Watoto hawana makosa

Wenye mimba na waume wameingia mitini au waliiba waume za watu au vyovyote vile walee matumbo yao wazae na walee watoto.

Ujana utapita, mwanamke ukikosa mtoto kila mtu atasema tofauti na mwanaume... na mtoto ni zawadi kubwa sana toka kwa Mungu

Mabinti ambao hawajazaa na wamwombe Mungu awape hekima waweze kupata wenza wenye hekima na hofu ya Mungu.

Wanaume Mungu awape imani wasikimbie mimba wala watoto waliowazaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…