Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Tatizo hapa siyo Single Mother, tatizo lililoko hapa ni huyo Mwanamke kutokuwa na msimamo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa comment imenichekesha hii mkuu,Mtu kazalishwa huko kutokana na kimbele mbele chake afu eti uwaonee huruma huwaoa. Kwani wanawake wameisha? Wanawake wenyewe ni wengi kwa zaidi ya milioni 1 kwanini uhangaike na mtu aliyezalishwa tayari?
Muda wowote anaanza kukulinganisha na aliyepita....
Hata kama aliyemzalisha kafa muache abaki hivohivo maana atakulinganisha na marehemu
Huyo unaemuona bora kisa hana mtoto, katoa mimba nane. Sio assumption ila hizo scenario zipo. Acheni kujudge watu.Mtu kazalishwa huko kutokana na kimbele mbele chake afu eti uwaonee huruma huwaoa. Kwani wanawake wameisha? Wanawake wenyewe ni wengi kwa zaidi ya milioni 1 kwanini uhangaike na mtu aliyezalishwa tayari?
Muda wowote anaanza kukulinganisha na aliyepita....
Hata kama aliyemzalisha kafa muache abaki hivohivo maana atakulinganisha na marehemu
Huyo unaemuona bora kisa hana mtoto, katoa mimba nane. Sio assumption ila hizo scenario zipo. Acheni kujudge watu.
Akilo za kitoto, ila ukienda kuangalia familia zetu zimejaa single mothers sio dada, shangazi, sjui mama wadogo na wakubwa na mama mzazi lakini kwene maandishi mnavoponda sasa
Pole wewe mwenye jazba kisa uzazi wa mwanamke mwezio....aahh sorry eti mwanamke mwenzio
Uzuri ujawai nijua na hautonijua kamwe, single mother wanaolewa vizuri sana kuliko hata hao mnaowaita wabichi waliozalia chooni....BTW mi sio single mother nliolewa ndipo nlibeba mimba angu ya kwanza shostMliozalishwa hamuolewi kamwe. Nyinyi ni vitafunio vyetu
Mkuu umewahi kuona mechi inaanza timu moja inaongoza goli 1/2?
Kuna ukweli fulani japokuwa kuna watu watakupinga. wachambuzi na wabobezi wanasema kuwa kuoa single mother una uhakika wa kupata mtoto hivyokupelekea kuondoa usumbu wa kuzunguka makanisani ili mtu aombewe ili kupata mtoto.Bora ata aliyefanya kosa akazalishwa na akaitwa mama, mnakuja kuoa binti sjui mama miaka28_30 au wengine chini ya apo ila wengine vizazi vishazaa ata mara saba uko bila watoto kuonekana, mnachokwepa ni mtoto wa wanaume waliowazalisha??? Root
Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapaUzuri ujawai nijua na hautonijua kamwe, single mother wanaolewa vizuri sana kuliko hata hao mnaowaita wabichi waliozalia chooni....BTW mi sio single mother nliolewa ndipo nlibeba mimba angu ya kwanza shost
Vipi yule ambaye ametoa mimba nne na ya tano na kaamua kuzaaHuyo unaemuona bora kisa hana mtoto, katoa mimba nane. Sio assumption ila hizo scenario zipo. Acheni kujudge watu.
Mliozalishwa hamuolewi kamwe. Nyinyi ni vitafunio vyetu
Happy Amos😀😀😀😍Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa