Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hakuna sheria kama hiyo na hatatokea ngoja tuendelee kuwavua vyup
 
Hapo na mimi ni singo mother lakini huu Uzi umenichekesha sana, sijui mtoa mada umefikiria nini kutunga uongo kama huu
Duh hebu ona sasa nawewe ni singo mazaa aisee

Kweli hili ni tatizo sugu
 
Umenena ukweli mkuu
 
Ndo hivo mkuu inabidi tu dunia ije na suluhisho
 
Nadhani jifundishe kwanza kuandika vizuri
ulaya -Ulaya
america - America
afica - Africa
chuo - Chuo
john - John
 
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah Nimecheka Kizunguuuh
 
Utafiti wake feki kabisaa. Halafu huyu mleta mada hanaga mada za maana zaidi ya uongo uongo na uzushi
Povu la omo nalikubali ila hili la single maza na hatar zaid hutakatisha kaniki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…