Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ok, naendelea kujifunza
 
Nalo meno pia.Nalifanyia kazi
 
Sasa wewe kwa nini unataka kununua gazeti jioni?
Humweleza mhusika kwa nafasi yake tukiwa wawili.Nataka pia nijifunze kwake kama anaweza nilelea wangu pia panapo tukijaaliwa,chamno nijifunze kwa kina ni vipi aliweza kupata mtoto nakushindwa kuishi na baba mtoto,kitu nisichokipendelea sana.maishani mwangu.
 
Hata Mimi ningekuwa me ningeoa mwanamke mwenye mtoto tayari walau mmoja! Kwanza mwanamke alozaa anakuwa amepevuka tayari. Anajua maana nzima ya Raha ya mapenzi[emoji39]! Lock zote zinakuwa zimetoka![emoji2960]!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)
Usiombee ukutwe na bwana pepsi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kabisaa
 
Hata Mimi ningekuwa me ningeoa mwanamke mwenye mtoto tayari walau mmoja! Kwanza mwanamke alozaa anakuwa amepevuka tayari. Anajua maana nzima ya Raha ya mapenzi[emoji39]! Lock zote zinakuwa zimetoka![emoji2960]!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)
Unajipigia debe uolewe sio
 
Hakikisha na ww umeona kaburi la baba wa mtoto,,,
La sivyo utakuja kuomba ushauri ni kamba gani inafaa kujinyongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…