Kiuhalisia kutokana na utafiti Wangu mdogo , wapenzi wengi wanaokutana humu kwenye mitandao wengi huwa hawana u serious Fulani , mmoja anawaweza akawa yupo serious, either anaetafuta au anaetafutwa asiwe serious, akawa Kama anabip tu kupima upepo, akiona mambo yako tofauti na alivyofikiria kwa aliyempata kupitia humu basi ndio inakua mwisho Wa hayo mahusiano, na Mara nyingi hua yamejaa uongo uongo mwingi na wasi wasi nyingi.
Kwa hiyo Kama ulitafuta huyo mwanamke kupitia hii mitandao ya kijamii , hizo changamoto ni lazima ukutane nazo mkuu .