Kujua huko vp? [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nilijua tu uta atend mapema kama bs za mkoani
Sijaelewa hata ukiangalia hawaombwi hela ya mchele wala sukari sasa sijui shida iko wapi?Kwani kuwa single mother ni shida au ninii
Hahahaaa. Huwa nawaona mara unapenda mpini au kibamia yaani ilimradi tu.Na maswali yao makuu umeolewa kama haujaolewa utaulizwa tena una watoto wangapiii mfyuuu
Hahahahaaaa. Pole sana.Pole dada ndo maisha najua hata wewe hukupenda kuwa singo maza
Hahahaa. Ndio wanachotaka hicho. Twende nao tu.Sawa Mkuu
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
dunia imeelemewa na wingi wa singo maza
Inasemekana palipo binadamu 10 kuna singo maza 7
Hata jamii forum kati ya wanawake 10 bas 9 ni singo maza
London kwa sasa iko mbion kuja na tiba mbadala ya kupunguza tatizo hili sugu ambalo kwa sasa limekuwa kubwa sana ulaya, america na afica hasa kwa kenya na tanzania
Wasomi kutoka chuo kikuu cha rumis huko america ya kusin wamesain waraka wa kumaliza tatizo hili
Msomi john cater amesema wako mwisho mwishon kuja na suluhisho la kudumu
LONDON BABY
Kujua huku kunapendeza zaid[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji10]Kujua huko vp? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
HahahaHahahaa. Ndio wanachotaka hicho. Twende nao tu.
Hahahaaa! Na wanavyojua kulazimishia yaani wanasahau kabisa kwamba ukweli tunao wenyewe sisi tunaoandika.Hahaha
Umeonae, hawakawii kusema nina watoto saba kila mtu na babake!!!
Yaani ni changamoto!!!!Hahahaaa! Na wanavyojua kulazimishia yaani wanasahau kabisa kwamba ukweli tunao wenyewe sisi tunaoandika.
Jiangalie dada usishoboke na wwWaanze na wewe kwa kukoment ujinga
Mi nimeandika, naona wananiwakia. Halaf wananuna. Nimeona isiwe tabuMkuu wana makundi hawa na hawapendan kinoma
Hahaaa nakuzingua tu dada yangu bhana wala usijalHahahahaaaa. Pole sana.
Vyovyote vile mkuuHivi ni single mother au single parent?
Ndo hivo mkuu dunia imebinuka mgongoJuzi nimekutana na kitoto kina 20yrs lkn kina 3 kids!
Hawatakak ukweli hawa watu mkuuMi nimeandika, naona wananiwakia. Halaf wananuna. Nimeona isiwe tabu
Poa mkuu naona unatafuta sifa wapuuz kama wewe sinaga habar nao kabisaJiangalie dada usishoboke na ww
Hili tatizo Tz in 10yrs or 20yrs to come itakuwa disaster kubwa sn.
Maajabu videmu havina akili. Vina leta nyodo. Ma men wana wadampu fasta.
At 20s to 35 huwa wanaona raha sana. "Wanasema Niko huru, sinabanwi, mambo ya kupangiana staki, nakula bhata hadi nachoka, club,nk"
At 40 yuko lonely balaa. Ana 4 kids, @from a different man. Hapa ndio patamu..
Weee waache tu. Nigeria & Kenya Wana andamana hawaolewi, Tz wanawake wanachezea wanaume. Subirini...kiama kinakuja.