Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kila nikipita JF nakumbana na post mbovu kama hizi. Hivi wanaume mnapataga raha fulani kufikiria vitu vya kuwakalia wanawake kila kukicha au? Mna Bahati we are the only beings that tolerate you, so behave.

Kwa logic yako, single mother, mzazi pekee alieamua kubaki kwenye maisha ya mtoto na kumlea kadri ya uwezo wake pamoja, huyu mtu ndie mwenye makosa na udhaifu? Mzazi mwenzie alietelekeza majukumu yake je?
Obama mama yake alikuwa single mom, Bill Clinton, etc. Ni bora mtoto aishi Kwa amani na mzazi mmoja kuliko nyumba yenye mifarakano mingi. Two parent households do not guarantee well behaved children, mfano bora ni wewe bro. Hata watoto mashoga wanatokea nyumba zenye baba na mama so don't lie to yourselves.

Watoto wakitupwa chooni mnasema...
Mimba zikitolewa mnasema...

Laana kubwa ya wanawake , Hasa wanawake wa kiafrika ( God Help Us) Ni kuzungukwa na wanaume wanafiki na wanyanyasaji.



Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu


dunia imeelemewa na wingi wa singo maza

Inasemekana palipo binadamu 10 kuna singo maza 7

Hata jamii forum kati ya wanawake 10 bas 9 ni singo maza


London kwa sasa iko mbion kuja na tiba mbadala ya kupunguza tatizo hili sugu ambalo kwa sasa limekuwa kubwa sana ulaya, america na afica hasa kwa kenya na tanzania


Wasomi kutoka chuo kikuu cha rumis huko america ya kusin wamesain waraka wa kumaliza tatizo hili

Msomi john cater amesema wako mwisho mwishon kuja na suluhisho la kudumu


LONDON BABY
 
Hili tatizo Tz in 10yrs or 20yrs to come itakuwa disaster kubwa sn.

Maajabu videmu havina akili. Vina leta nyodo. Ma men wana wadampu fasta.

At 20s to 35 huwa wanaona raha sana. "Wanasema Niko huru, sinabanwi, mambo ya kupangiana staki, nakula bhata hadi nachoka, club,nk"

At 40 yuko lonely balaa. Ana 4 kids, @from a different man. Hapa ndio patamu..

Weee waache tu. Nigeria & Kenya Wana andamana hawaolewi, Tz wanawake wanachezea wanaume. Subirini...kiama kinakuja.

Tatizo LA single mothers litakuja kuathiri jamii nzima including Mimi na wewe so tusiwabeze sana maana tutaumia baadae.
 
Back
Top Bottom