Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Single mother wanazidi Kwa sababu ya Kuzidi kwa Kule kujimwambafy wanawake na Kuendekeza Ufeminine kuiga wazungu..

Wazungu wao washazoea Kuwa masingle maza na wala hawana shida ila sisi Tunaiga na ndo maana tunapotea..
Chanzo kikubwa ni Ufeminine Kwishaaa
 
Mmeamua kufanya Nyapu kama mbadala wa ajira?

So watu wanatoa pesa na wajibu wa matokeo ya ngono unabaki kwa mnufaika wa pesa hizo.
 
Wanaume kukwepa majukumu

Pia wanaume ni wachache na hao hao wachache Kuna mashoga, kataa ndoa, kimbilia mashangazi yaan uchache umegeuka adimu

Pia njaa haijahi kumpendeza mtu, umeshawakuta watoto wa wabunge, maafisa waandamizi wakiwa single Maza?
 
Daah! Wewe unaishi Dunia ipi??
Nenda hospital za serikali hasa mikoa ya kusini uone watoto wanazaa, je watoto wazazi hawana hata wanachojua kuhusu umalaya, miaka 13, 14 utamwita Malaya au kukosa uelewa?

Pia Kwa Nini wanaume wanawazalisha watoto wa miaka chini ya 18?
 
FaizaFoxy naomba uhakiki uandishi wako ili niweze kusoma.

Singo maza asilimia kubwa ni form 2 walioachishwa shule kwa kudanganywa na wanafunzi wenzao pamoja na waume za watu.

Arusha limeibuka wimbi la vijana walioacha shule na kujiunga na Gereji au bodaboda ambao wanatengeneza singo maza watarajiwa wengi ambao ni wanafunzi form 1-3 wasichana wadogo kabisa..

Kundi lingine linalochangia wingi wa singo maza tarajali ni madereva na wafanyakazi wa utalii/tours. Kundi hili High season ikianza kuisha wanajaa mjini na kuwabebesha mimba wanafunzi na baadae kutimkia mbugani.

Wanafunzi wa kike Arusha wamewehuka wenyewe wanatongoza.
Wana vazi lao la suruali aina fulani, kikoti, kitambaa na kipochi.. Singo maza tarajali.
 
Huu Uzi ukikaa baada ya mda unaibuka kwani kunani hakuna vitu vipya🤣
 
Breaking your personal laws result to a public chaos~Dr.myles munroe.

hii ishu ya singo maza ni impact of globalization~(The rise of individualism and extended of single parent families) huko kwa kina kanye west wametutangulia hatua mbili mbele ndio maana utakutana na kina feminist activist
 
Kwanza hali mbaya kiuchumi unawafanya wanawake wadate na wanaume wengi kwa mara1..!!


Pili katika hao wanaume wapo wale wanaoamini "Ndomu hainogi" na wamekataa kabisa kutumia .....!! 🤔


Tatu ukute Kamdada ka watu ndio hata hakatumii Uzazi wa mpango na kanashida na hiyo pesa....!!


Nne single Madha Tayari....!!
 
Msingi ni mwanamke kujirahisisha na kukubali kutumika kama chombo cha ngono holela.

Mwanamke unakubali vipi kupigwa miti na mtu ambaye sio mumewe?
Asilimia kubwa, sisemi zote, za mabinti na wavulana huanzishwa kuharibiwa kidogo kidogo na watu wa karibu nyumbani kwao.

Kuna koo Maarufu sana nazijuwa. Zilizojaa mashoga, zilizojaa wasagaji, zilizojaa malaya, zilizojaa wezi na majambazi mpaka mtu unajiuliza hizo koo zina Laaana gani?

Kuna nyumba kubwa tu (koo kubwa tu), watoto wa kiume asiyekuwa jambazi basi ni shoga. Watoto wa kike asiyekuwa Malaya au msago basi kaolewa,tena wengi wao ndiyo hizo ndoa za kisasa. Asiye wa dini yake wanaishi tu.
 
kiufupi hayo ndo maendeleo yanayoletwa na huo tunaita utandawazi........
nakumbuka kipindi nasoma ukimwona mtu na mtoto hajaolewa ni kama shetani.....
yaaani ant yangu alitengwa kwa ajili alizaa bila kuolewa....
lakini utandawazi unasababisha hii ionekane ni kitu ya kawaida...
ikizungumza kidini,kidesturi za kiafrika,au kistaarabu mwanamke au mwanaume kua na mtoto bila ndoa ni changamoto
(single maz & faza niliowazungumzia mimi ni wale hawajaolewa au kuoa wakapata mtoto sio wale walioa au kuolewa halafu wakaachana)
na hapa tupo mwanzo tu,baadae balaa linakuja tutaona sahv ni nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…