Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ila kama ni mke wa kuoa bora utafute poligoni tu, hutopata presha
 
Kwamba miaka 13 ,14 anazaa!
Kwamba menstral tayari ameanza miaka 13?
Au ujauzito ana ubebaje?
 
Uliyoyaongea hayana na hayawezi kuwa na uthibitisho , ila ukiyafikiria vizuri yanamake sense.

Usiseme mwanamke ni pasua kichwa, fairly: binadamu ni pasua kichwa, lakini…. ili dunia ibalance ikatengenezwa mifumo ya kumthibiti binadamu mmoja (mwanamke) “inferiorize” (si neno) Ili kusudi huyu pasua kichwa mwingine (mwanaume) aweze kuongoza dunia ilete balance.

Dunia inahitaji mnyonge mmoja na mwerevu mmoja, kwa sasa hakuna anayekubali unyonge lazima kiumane!
 
Nope sio hilo ni ndoa za siku hizi wannaume hawataki kuhudumia so mtu anaamua kulea wanawe nasiku hizi wanawake wanajituma
Nyinyi Wanawake si huwa mnapenda kuzaa na vijana mnaowapenda haijalisha kijana ata akiwa hajishughulishi na kazi yoyote hii ndio sababu kuongezeka kwa masingo Maza huko mtaani
 
Wewe ni muongo sana ulifika hospital gani huku kusini ukayaona hayo? Tuje upande wako ulianza uzinzi ukiwa na umri gani?
 
Nonsense comment
 
Hujaongea uhalisia, Mwanamke anapaswa kuinuka kiuchumi na kupata elimu . Kuwa single mother haina uhusiano wowote na vitu tajwa hapo
 

To me,

Sababu kubwa ni Kukosa Hofu ya Mungu, na kama ipo basi kukosa Maadili

Kingine ni Uferminism na taasisi nyingi zinazowapa Wanawake nafasi zisizokuwa zao katika Familia, yaani Mwanamke anakuwa BABA kimamlaka na kimaamuzi

Ilihali pamoja na pesa zake au nafasi katika serikali Mwanamke anapaswa kumujeshimu mumewe na kumtambua kuwa ni Mume na Kichwa cha nyumba

Mlivyokuwa mnaishi ninyi na kuheshimu ndoa Mabinti wa sasa wengi hawana hilo na wanadharau sana Wanaume wakiona kama wanaweza kufanya kila kitu kisa pesa au uongozi

Hakuna Mwanaume anapenda kudharauliwa au kushushwa na Mwanamke, no matter ana hali gani kiuchumi
 
Wasilaumiwe , ndio Hali ilivyo wasichana wadogo miaka 14-30 wanaingia mahusiano na Men katika umri huo 14-30 je kijana wa kitanzania miaka 14-30 Wana kitu gani? Miaka 14-30 asilimia 95 Ni fukara Sana wengi Ni wanafunzi na wengine bado wanaishi kwa wazazi na wengine hawana hata kipato kinachofika 20k perday Sasa huyo unategemea awe baba anayewajibika? kijana anakuja kujipata 35+ itabidi aangalie wakuoa katika kundi la 20s wakati katika kundi alilo zalisha Wana 35+ je hao Nani atawaoa? Kwahiyo shida kubwa Ni umaskini au Hali duni ya sisi wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…