Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hakuna mwanaume adiyrpenda kulala na kigori tunalala nao sio kwa lengo la kuwapa mimba, tunafuata raha zao.
 
Hao unaowaongelea hapo Ni zao la single mother,
Wanawake wenye ajira asilimia 90 ni masingo matha na wamejaa kiburi na umalaya hawana muda kuangalia watoto wao, unategemea hao watoto wanakuwa katika maadili yapi,
Wasichana wengi wanaotembea na wababa Ni zao la singo mama, yote kwa sababu tabia wanaiga kwa Mama zao!
 
Usingo maza NI kukengeuka kwa wanawake
Mwanamke kushindwa kufata tamaduni alizowekewa Kama mwanamke hivyo kupelekea kuishi kwa kwenda na wakati na kujiaminisha bila kumilikiwa na mwanaume kwamba yeye peke yake anaweza
 
Ndio umeongea utumbo Gani huu mara ukiwa na pesa hata mke wa mtu unakula halafu hapo hapo unapinga umasikini we hujielewi
 
Kidogo nakubaliana na wewe hapa ila uozo wa maadili upo kwenye hizi dini za kuletewa na maboti pia. Mfano ona unavyovaa kigaidi na pengine usikute unajifunga hata na gunia usoni usionekane sura yako, tunajuaje kama wewe ni mwanamke kweli au binadamu? Hizi mila za kigaidi ni upotofu wa maadili kwetu Waafrika, tusiziige kamwe.
 
Wewe ni mtoto wa singo mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…