Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Tamar hakuwa na mtoto.

Bibilia haitambui dhana ya single mothers, ina ukale fkani hivi. Yenyewe inatambua wajane tu.

Watu wanapenda kusema Rahab ndo alikuwa single mother, lakini bibilia haitoi ushahidi.
Hapa mama Maria mama yake yesu ndio anaonekana kuwa alienda kama single mother japo kwa staili ya mimba🤔
 
Wayahudi hawakuwa wanahesabu wanawake enzi hizo mpaka kwenye agano jipya hicho kitu kipo. Rejea kisa cha Yesu alipolisha watu 5000 kwa mikate mitano na samaki wawili.
 
Ikawaje Sara akaomba kwamba mjakazi huyu afukukuzwe pamoja na mwanae? Na kwanini hata baada ya kuzaa bado aliitwa mjakazi tu ?
Sara aliomba Hagar afukuzwe kwa sababu alimwona Ismaili kama tishio kwa urithi wa Isaka, na pia alihisi kudharauliwa na Hagar baada ya kujifungua.

Ilikuwa ni hatua ya kulinda nafasi ya mtoto wa ahadi. Ingawa Hagar alikuwa mjakazi, alipewa Abrahamu kama mke (Mwanzo 16:3), na hata baada ya kufukuzwa, hakunyang’anywa hadhi hiyo,,aliendelea kuwa mke wa Abrahamu kisheria, lakini siyo sehemu ya agano la kiroho.
 
Soma Mwanzo 16:3 (biblia ya kiswahili halafu copy hiyo mistari uje kuipaste hapa inasemaje) ili nikufafanulie uelewe.
Kusema mke sio tatizo , neno kijakazi na suria limetoka wapi hata baada ya kuzaa mtoto ?
 
Hagar alitii maagizo ya tajiri are sara tu kama kijakazi wake kumzalia mtoto tu , wayahudi wenyewe hawamtambui kama mke halali , wanamtambua kama suria tu( pilegesh)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…