Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kabisaaa km wewe ivi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] na umpate kwa kulingana naye akili lakini mwingine kalelewa kimayai mayai mwingine command mguu sawa mbele tembea kazi ipo ila nikumtanguliza Mungu tu hakuna kingine
Hahahahaaaa dadek ,,,Gigy asipokufanya mgane basi yeye atakua mjane.Freedom if speech and association. Imagine unamuoa Giggy Money au Mange
Kabisa mkuuuu ..big problem hiitatizo la usingo madha linaanzia pale mwanamke anapojitegesha/anapotaka apewe mimba na mpenzi wake ili aiharakishe ndoa kupitia mimba, badae anakuja kushtuka ashazaa ndoa hakuna, na maisha yanaendelea
Hahahaaa Mkutano Wa Beijing kaka ..ndo umewaponza ...initiative walopewa imevuka ukomo.Affirmative action backfires. Wanawake sasa wanatunishiana misuli na wanaume katika nyanja zote ambao sio utamaduni wa kiafrika.
Wanaume wanaamua kuwatosa wazazi wenzao maana hawaamini katika equality.
Hii habari ya gender equality itaondoka na mtu. Tamaduni za afrika haziikubali.
Ni indication kuwa huu umagharibi haujakubalika afrika. Mbona wanawake wanaoamini katika traditional roles za mwanamke wa kiafrika hawaachwi?
Sio wanawake ila wachangiaji wengi humu ni wanaumeNaanza kupata majibu sasa mkuuu.
Kumbe hili tatizo ,,source niwanawake kwakiasi kikubwa???.
Hahaah JF hatare sana.Sio wanawake ila wachangiaji wengi humu ni wanaume
HahahaahahaM/mke beki hazikabi, kisirani, mjuaji, perepeche nyingi uoe wa nini? Saa nyingine mtu unajutia kwann hukutumia Dume
Oooohhhhh sawa mkuu.Imejengeka tafsiri kua mtt mdogo n lazima alelewe na mama yake ila isingekua ivo watt wote wangebaki na baba zao na hata swala la usingle mother lisingekuwepo matter of time kulea mtt c kazi ndogo
Ongea na ndugu yako Aspirin mkuu Quinine Mwitu tafadhali.pole sana mkuu,hatuwezi ku conclude vibaya ila kuwa makini kidogo God father mwisho wewe ndio utakuwa shemeji wa shemeji yetu kwa single mother
tutamuwelewesha mkuu,tusikie na yeye anasemaje labda yuko aware na hilo,ntajaribu kumsikiliza mkuuOngea na ndugu yako Aspirin mkuu Quinine Mwitu tafadhali.