Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sio lazima kuwe mapenzi......baadhi yetu tunapenda tu watoto,haswa kama mtoto mwenyewe anakua msafi muda mwingi na anapenda kujifunza au tunashea ushabiki na upenzi wa kitu flani,so kwa watoto sio lazima iishie mapenzini.
Ila hapo kwenye msosi hapo.......mmh. mi binafsi bana napenda kula, tena kula vizuri so hiyo yaweza kua sababu ya wewe kua worried dadangu maana ni njia ya mkato kabisa kuelekea kupenzika
 
Sky Dada yangu kujua kitu na kukifanya ni vitu viwili tofauti. Hata hao ambao hawaingii jikoni si kwamba hawajui mapishi ila basi full vituko na visasi
Kule kwetu mtoto wa kike ana fundishwa mapishi kwanza kabla ya kujua kusoma na kuandika. Pia nilikaa unyagoni miezi mitatu.
 
Mkuu,jitahd ukae na Baba watoto wako mzungumze na kuhakikisha mnaweka mipaka ya mahusiano na huyo jirani,haiwezekani mtu mwenye familia uwe unaenda kula kwa jirani hyo ni fedheha kubwa sana kwa mkeo na hata kwako pia
Binafsi huwa nahsi aibu sana kula kwenye majumba ya watu na hlo hata majirani zangu wanalifaham (japo sijaoa huwa nakula migahawani cuz huwa sipiki ghetto)
Vilevile mumeo anapokuwa huko kwa jirani huwa wanaongea vitu gani visivyokwisha? ndoa ina miiko yake na nahsi miiko hyo mumeo anataka kuivunja...,akiji-expouse sana kwa jirani itafikia mahali nyumba yenu itakosa siri na hata yote yanayotendeka chumbani yatakuwa dhahiri...kama mdomo unatoa harufu,unanuka 'K',ni gogo kwenye 6*6,unajipu kwenye labial minora,mnalala mzungu wa NNE (69) yote jirani atajua kwa kuwa atakuwa anaambiwa na mumeo
Ninao ushahd kwny hili...boss wangu ( kwa hivi sasa ni marehemu,alifariki mwez nov-2017) alimpata mwanamke ambaye alikuwa akiishi jirani na japo walipokuwa wakiishi wao ( boss wangu na familia yake) yule mdada akaanza kwa kumshirikisha boss wangu baadhi ya masuala ya kiofisi,hali hyo ikaendelea mwishowe ikazaa mahusiano ya siri
Baadae boss wangu akawa anampelekea huyu Dada siri za ndani ( hasa madhaifu ya mke wake) na kuna kipind boss wangu akawa anamwambia huyu mchepuko "usimwone mke wangu ni mnene namna ile...she is a HIV+" baadae mchepuko akianza kumtukana mke wa boss wangu anamwambia mambo yote plus hilo la HIV+
So,Mkuu kaa mkao wa kulinda goli mabeki muda wowote wanaweza zidiwa na mshambuliaji
Lkn pia,huo uhusiano wao unaweza kuwa wa kawaida lakn usivuke mipaka!
 
Hui ukaribu jitahidi uudhibiti. Single mothers huwa wanapenda kupata wanaume ambao watakuwa Father figures na shemeji yetu anaonekana ku qualify kwa hilo so ukizubaa atapewa na chakula cha usiku.
 
Hizi chai tumechoka mtu mmoja kwa mwaka anamatatizo tofauti ya mahusiano 1000 nyinyi watu type hii wakuwa makini Sana kwenye mitandao mnapenda kupima akili za watu na wajinga wataingia mkenge kwa ushauri mwingi
 

Huyo ndio 'single mother', je ''double mother'' itakuwaje? Hivi kuna "single mother" kweli? Au ndio single parent?

[HASHTAG]#rebecca[/HASHTAG]
 
Vipi Sky...! Huitaji mtu wa kukusaidia na kukupunguzia Majukumu yako..?

Fikiria mara ya pili..
 
Mwambie shemeji hupendi kuona vhyo vitu au tabia anayo ifanya
 
Shtuka dada. Huyo jirani ni mke mwenzio! Sorry for being so blunt!
 
Sky Eclat,
Teh.... strategies za huyo Singo Maza nimezipenda...... yalisha nikuta.... uwe unamkumbusha hubby wako asijisahau....ni hatari.....akizama kutoka ni kazi ngumu....[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] from my experience
 
Sky Eclat,
Jirani bado unae,ujirani wenu utaisha pale tu mmoja wenu atakapohama au kifariki.
Na tumesisitizwa kuwa wakarimu sana kwa jirani zetu hili ni kwa dini zote,ila pia Wasi wasi ni akili
 
Ni bora ukutane na Simba 10 wenye njaa kali mbugani kuliko kukutana na single mother mwenye mkakati madhubuti. Pole sana mkuu Sky Eclat ....jiandae kisaikolojia kuwa single mother mtarajiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…