likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Mficha uchi hazai.Ila kiukweli hizi topic zina impact mbaya sana kwa single mothers mana wengi hukatishwa tamaa sana wakisoma hizi topics ,pliiz tunawaalibia wengine chance za kuolewa naomba tuzipunguze kama inawezekana.
Umemaliza mwanangu.Mwanamke yoyote kama alishawah kukuvulia pichu zaid ya Mara moja,unanafas kubwa sana ya kumvua tena
Ya kwenye sabuni nimeyaona Hapa.Mbona mademu zenu siyo single maza lakini wanagongwa kama kawa
Anzisheni za singo babaz.Kiukweli tumechoka na stori za single maza....wengi wenu jamiiforums mnazungumzia single maza ambao walikua kabla ya kuzaa walikua malaya...
Mabint kibao tunawaona wameolewa hawana watoto, lakini kitaani wanakanyagwa balaa na michepuko yao
Wapo wanaojitambua.....
Uzinzi na umalaya ni tabia ya mtu.....!
Ilinitokea hii, japo bnt alinipenda sn ila ckuwa najiamini kw mzazi mwenzie... tuliachana nami nikatafuta wa kuanza nae!Aisee kuachana ni ngumu sana. Mtu akishakuzalia mtoto mnaachanaje? Kwanza hata aliyemuoa anashindwa kupita nae mbele ya mzazi mwenzie anajisikia vibaya.
Aah, muache atakulilia inbox Huyu [emoji25] [emoji25] [emoji25]Huo ndo ukweli acha kubisha ...ndo mlivo
Hamna dhambi mbaya mkeo akagongwe na mwanaume mwingine, hii ni dhambi kubwa sana na inauma sana!Hahahah wanaume kinawaumaa si mchezo... Mnaona inavokera ku.tombewa ehh...nyie si wanaume bana komaeni navyo kiume...wanawake mbna huwa tunavumilia usaliti wenu?!
Shida za wengine huwa ni njaa,anajua akikata uhusiano na yule aliezaa naye atakosa visenti viwili vitatu vya matunzo ambavyo kiuhalisia havitumiki hasa kwa mtoto bali wengi huitumia hiyo kama njia ya kujiongezea kipato...Huyo mwanamke ni mpumbavu angekua na akili huo ujinga asingefnya,yaan mtu anaonesha waz kabisa kua hakuhitaj still unamnyenyekea na kuuliza et niolewe mfyuu mtoto isiwe kigezo aisee ,mapenz yakiisha yangu yang hayakuhusu na yako hayanihusu..angeolewa tu jamaa atapataga taarifa nae akioa atasikia tu anamuliza kama nan wanawake wengne bhna hao ndo wanaofnya sngle mom tuonekane WA hovyo kumbe sivyo
Wanyama WA mwituni huwafanyia hivi single mothers wao. Huwaua baba wa watoto kuondoa bugudha.Kosa kubwa sana!
Aliyetangulia katangulia tu.
Single mothera kama mnataka kuolewa na kutulia ktk ndoa kaoleweni na wazazi wenzenu. Hakuna mwanaume utaishi nae kwa amani ukiwa ulizalishwa na mwanaume mwingine na bado yiko mzima!
Kama vipi "KAWAUENI" kwanza hao wazazi wenzenu ndio muolewe, KAMA haiwezekani "kumuua" mzazi mwezio basi ujue na kuolewa na mwingine haiwezekani, itakuwa UNAFIKI tu.
DuNdio ukweli, ukioa single mother tegemea kuwa mzazi mwenzake ana chansi kubwa za kummega zaidi yako.
Imajini umemkunja staili ya kifo cha mende anakuangalia machoni kumbe anamuwaza mzazi mwenzie, No offense, single mother wajane ndio wanaoleka!
Ila baba yao ni mmoja.Wazungu wakike wanajielewa kidogo
Hujaelewa kitu wewe! Hatuongelei mwanamke kuchepuka, tunaonhelea kugongwa na mtu ambaye ameshaweka tattoo yake ktk moyo wa huyo mwanamke, hata ipite miaka mingi mzazi mwenzie akiamua kujigongea anahonga tu kama mke wake vile.Bado mtoto wewe, mademu kibao nawajua wameolewa wamewazalia watoto waume zao lakini wanagongwa balaaaa......uzinzi ni tabia ya mtu......kuna mademu wamezaliwa wana nyege 24 hrz hao ndo wanashida ukisafiri siku mbili ujue imekula kwako
Nyundo ndio inavunja jiwe ila sifa siku zote anapewa aliyeishika. Mwanamke ni nyundo na mshika nyundo ni mwanaume. Nyundo haiachwi ikavunja kila kitu, destination ya nyundo iko Kwa aliyeishika.Hahahah wanaume kinawaumaa si mchezo... Mnaona inavokera ku.tombewa ehh...nyie si wanaume bana komaeni navyo kiume...wanawake mbna huwa tunavumilia usaliti wenu?!
Kabisa,jamaa wananikatisha tamaa hata mimi ninayemmendea single matha mmoja hivi.Ila kiukweli hizi topic zina impact mbaya sana kwa single mothers mana wengi hukatishwa tamaa sana wakisoma hizi topics ,pliiz tunawaalibia wengine chance za kuolewa naomba tuzipunguze kama inawezekana.
Poa upo vzr ubarikiweHujaelewa kitu wewe! Hatuongelei mwanamke kuchepuka, tunaonhelea kugongwa na mtu ambaye ameshaweka tattoo yake ktk moyo wa huyo mwanamke, hata ipite miaka mingi mzazi mwenzie akiamua kujigongea anahonga tu kama mke wake vile.