Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

mshipa SINGLE MAZA NI CHANGAMOTO MKUU, NADHANI NI MATOKEO YA KWENDA KINYUME NA 'NATURE', MUNGU ANAHMIZA KUOLEWA/KUOLEWA NDYO UZAE.. PIA, KUOA/KUOLEWA NDIYO USEX.. KINYUME CHAKE NI KULETA CHALLENGES KAMA HIZI
 
Ila kiukweli hizi topic zina impact mbaya sana kwa single mothers mana wengi hukatishwa tamaa sana wakisoma hizi topics ,pliiz tunawaalibia wengine chance za kuolewa naomba tuzipunguze kama inawezekana.
Mficha uchi hazai.
 
Hahahah wanaume kinawaumaa si mchezo... Mnaona inavokera ku.tombewa ehh...nyie si wanaume bana komaeni navyo kiume...wanawake mbna huwa tunavumilia usaliti wenu?!
 
Kiukweli tumechoka na stori za single maza....wengi wenu jamiiforums mnazungumzia single maza ambao walikua kabla ya kuzaa walikua malaya...
Mabint kibao tunawaona wameolewa hawana watoto, lakini kitaani wanakanyagwa balaa na michepuko yao

Wapo wanaojitambua.....

Uzinzi na umalaya ni tabia ya mtu.....!
Anzisheni za singo babaz.
Wadada walio smart watakuwa wanapata kujua mitazamo ya wanaume juu ya singo moms hivyo kufikiri kabla ya kutenda, sasa wewe endelea kudai mmezichoka! Walio smart wanapata kitu hapa.
 
Hahahah wanaume kinawaumaa si mchezo... Mnaona inavokera ku.tombewa ehh...nyie si wanaume bana komaeni navyo kiume...wanawake mbna huwa tunavumilia usaliti wenu?!
Hamna dhambi mbaya mkeo akagongwe na mwanaume mwingine, hii ni dhambi kubwa sana na inauma sana!
Haikubaliki.
 
Huyo mwanamke ni mpumbavu angekua na akili huo ujinga asingefnya,yaan mtu anaonesha waz kabisa kua hakuhitaj still unamnyenyekea na kuuliza et niolewe mfyuu mtoto isiwe kigezo aisee ,mapenz yakiisha yangu yang hayakuhusu na yako hayanihusu..angeolewa tu jamaa atapataga taarifa nae akioa atasikia tu anamuliza kama nan wanawake wengne bhna hao ndo wanaofnya sngle mom tuonekane WA hovyo kumbe sivyo
Shida za wengine huwa ni njaa,anajua akikata uhusiano na yule aliezaa naye atakosa visenti viwili vitatu vya matunzo ambavyo kiuhalisia havitumiki hasa kwa mtoto bali wengi huitumia hiyo kama njia ya kujiongezea kipato...
 
Kosa kubwa sana!
Aliyetangulia katangulia tu.
Single mothera kama mnataka kuolewa na kutulia ktk ndoa kaoleweni na wazazi wenzenu. Hakuna mwanaume utaishi nae kwa amani ukiwa ulizalishwa na mwanaume mwingine na bado yiko mzima!
Kama vipi "KAWAUENI" kwanza hao wazazi wenzenu ndio muolewe, KAMA haiwezekani "kumuua" mzazi mwezio basi ujue na kuolewa na mwingine haiwezekani, itakuwa UNAFIKI tu.
Wanyama WA mwituni huwafanyia hivi single mothers wao. Huwaua baba wa watoto kuondoa bugudha.
 
Ndio ukweli, ukioa single mother tegemea kuwa mzazi mwenzake ana chansi kubwa za kummega zaidi yako.
Imajini umemkunja staili ya kifo cha mende anakuangalia machoni kumbe anamuwaza mzazi mwenzie, No offense, single mother wajane ndio wanaoleka!
Du
 
Bado mtoto wewe, mademu kibao nawajua wameolewa wamewazalia watoto waume zao lakini wanagongwa balaaaa......uzinzi ni tabia ya mtu......kuna mademu wamezaliwa wana nyege 24 hrz hao ndo wanashida ukisafiri siku mbili ujue imekula kwako
Hujaelewa kitu wewe! Hatuongelei mwanamke kuchepuka, tunaonhelea kugongwa na mtu ambaye ameshaweka tattoo yake ktk moyo wa huyo mwanamke, hata ipite miaka mingi mzazi mwenzie akiamua kujigongea anahonga tu kama mke wake vile.
 
Hahahah wanaume kinawaumaa si mchezo... Mnaona inavokera ku.tombewa ehh...nyie si wanaume bana komaeni navyo kiume...wanawake mbna huwa tunavumilia usaliti wenu?!
Nyundo ndio inavunja jiwe ila sifa siku zote anapewa aliyeishika. Mwanamke ni nyundo na mshika nyundo ni mwanaume. Nyundo haiachwi ikavunja kila kitu, destination ya nyundo iko Kwa aliyeishika.
 
Ila kiukweli hizi topic zina impact mbaya sana kwa single mothers mana wengi hukatishwa tamaa sana wakisoma hizi topics ,pliiz tunawaalibia wengine chance za kuolewa naomba tuzipunguze kama inawezekana.
Kabisa,jamaa wananikatisha tamaa hata mimi ninayemmendea single matha mmoja hivi.
 
Hujaelewa kitu wewe! Hatuongelei mwanamke kuchepuka, tunaonhelea kugongwa na mtu ambaye ameshaweka tattoo yake ktk moyo wa huyo mwanamke, hata ipite miaka mingi mzazi mwenzie akiamua kujigongea anahonga tu kama mke wake vile.
Poa upo vzr ubarikiwe
 
Back
Top Bottom