Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

kwa dunia yetu hii ya sasa ..ya simu za mkononi na app za watsaap Fblite hayo sahau mkuu ..hayo uliyosema ylipaswa kupewa kipaumbele wakati watu watu walipokuwa wanayatumia masanduku ya posta...
huu wakati tujifnze kuvumiliana tu...
 
Hata ndani wapo vizur wanajua Ku care hivi vibichi utoto bado mwingi na sio viaminifu. Salute kwa single maza wote
Hiyo care ni fear ya kudampiwa, analazimika kuwa mtiifu.
Alafu usichanganye madawa, siongelei visichana vibichi, naongelea grown ups ila sio single mother,
Endelea kushea mkeo mkuu, inauma sana ila maji ndo umeshayavulia nguo.
 
Huyo Mzee boya tu alikuwa anakunyima fursa ya kufaidi utamu
 
Haki ya kumthibiti mwaume aliye zaa naye aipo. Walikuwa wakifanya starehe. Awaka wamekubaliana kuzaa.
 
Msi generalize hapa, sio kila single mama ana huo udhaifu, kuna wanaojielewa na wenye msimamo wamesonga mbele. Hzo ni tabia binafsi za mtu, kama alimtegea mimba basi ni mdhaifu sana kwa huyo rafikiyo, aidha alimpenda sana na ana mstumaini ya huyo baba mtoto kumrudia ndo maana bado anamtega
 
Hiyo ni kwa upande wako, unavyoona wewe si anavyoona mwingine, wapo single mama wanaojitambua na wenye msimamo na wameolewa na wana ndoa nzuri zenye afya

Kupata single mama asiyejielewa usidhani ndo wote wako hvyo, unakosea sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…