utamu wao nimeshawahi kuuonja mkuuUtamu wa masingle maza mkuu, babu yako alikuwa anakunyima fursa.
Tuna mitazamo tofauti, ndio uzuri wa binadamu.Hiyo ni kwa upande wako, unavyoona wewe si anavyoona mwingine, wapo single mama wanaojitambua na wenye msimamo na wameolewa na wana ndoa nzuri zenye afya
Kupata single mama asiyejielewa usidhani ndo wote wako hvyo, unakosea sana mkuu
Usiishie kuonja mkuu ishi nao hutojuta,utamu wao nimeshawahi kuuonja mkuu
yaani niishi dar then iwe sijawahi kuwa muhanga wahiyo kitu ..wajukuu zangu nitawahadithia nini ?? hhaahaa
sasa sibora nirudi kolomije
Hahahaa eti kwenye msumariSingle mother mje mjitetee...eti ni kweli beki hazikabi kwa wazazi wenzenu?!
Jamaa akija tu chu.pi kwny msumari
Bora ww unajielewa?!Msi generalize hapa, sio kila single mama ana huo udhaifu, kuna wanaojielewa na wenye msimamo wamesonga mbele. Hzo ni tabia binafsi za mtu, kama alimtegea mimba basi ni mdhaifu sana kwa huyo rafikiyo, aidha alimpenda sana na ana mstumaini ya huyo baba mtoto kumrudia ndo maana bado anamtega
hahaaa mkuu akili yangu bado imetenganishwa mbali mnoo nahuo ushauri wako...kwakuwa bado cjaamua kuoa ..Usiishie kuonja mkuu ishi nao hutojuta,
Hahahaaaa haya huyo dada itakuwa anafikishwa Kunako na mzazi mwenzie au Unajua siyo wote wanauwezo wakupotezea kirahisi hata wasio single mother Hiyo Hali inaweza mkuta mtu yoyote.Beef Lasagna you once told me wewe ni single maza..majibu please
Sie yetu kisirisiri tuu hautajuaa jmn...Nyundo ndio inavunja jiwe ila sifa siku zote anapewa aliyeishika. Mwanamke ni nyundo na mshika nyundo ni mwanaume. Nyundo haiachwi ikavunja kila kitu, destination ya nyundo iko Kwa aliyeishika.
Nimekuelewa sana..Hahahaaaa haya huyo dada itakuwa anafikishwa Kunako na mzazi mwenzie au Unajua siyo wote wanauwezo wakupotezea kirahisi hata wasio single mother Hiyo Hali inaweza mkuta mtu yoyote.
Siri ya ndani mkuu hata wasio single wanasheaKushea??
Wewe umeachana na wangapi?Mnaachana vzur tu
Ila wewe kugonga nje ruksaa sio...hahha mkuki kwa nguruwe eeeh...ndani ya ndoa game zenyewe za kichovuuu mixer km uliolewa kutoa nuksi tu kwnn usirudi kwa mkunaji wako kwa mfano..Hamna dhambi mbaya mkeo akagongwe na mwanaume mwingine, hii ni dhambi kubwa sana na inauma sana!
Haikubaliki.
Haya bhana nimekusikiakasigazi kalungi MFUKUZIE SINGO MAZA IN UR OWN RISK
Kitu chochote unavyokichulia kwa mtazamo wako ndivyo utakavyoamini whether negative/positive, kwakuwa mtazamo wako ni positive kwa wasio single maza basi amini hivyo.hahaaa mkuu akili yangu bado imetenganishwa mbali mnoo nahuo ushauri wako...kwakuwa bado cjaamua kuoa ..
nikishakuwa Tayari nitalifikiria hilo ulilonisahauri
Mmmh kumbe mmeshaunda na teamNakuonaa nakuona unavopambanaa kwa raha zakoo sio...hahahaha haya bwn na story zako...ili tusome bila kuitwa itwa jitahd ufike level za Lara... mana saivi bado upo level ya Shigongo kwa mkali waoo Hussein Tuwa
Ukija kusoma utaelewaaSijaelewa swali lako money peny waweza fafanua kidogo