Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Bado mtoto wewe, mademu kibao nawajua wameolewa wamewazalia watoto waume zao lakini wanagongwa balaaaa......uzinzi ni tabia ya mtu......kuna mademu wamezaliwa wana nyege 24 hrz hao ndo wanashida ukisafiri siku mbili ujue imekula kwako
Mbona baba wengi wanalea watoto wasio wa kwao, na wako kwenye ndoa? Kugongwa kwa mwanamke ni uamuzi wake tu, na haitegemei kama ni single mother au la.
Lakini na wanaume nao akili ziko kwenye makende tu, kama demu mmeachana unamfuata tena wa nini?
 
Mkuu Umeoa single Maza? Au umelelewa na Single Maza?
 
Mkuu Umeoa single Maza? Au umelelewa na Single Maza?
Wapo nnaowafahamu.......wengine wana tabia nzuri wengine ndo hao ambao wanazungumziwa na watu wengi humu

Nkupe mfano, atokee muingereza awaite watanzania ni wajinga we utakubali????
Ww ni mtanzania so amekujumuisha na ww kwenye wajinga....

Ishu watanzania wana tatizo la kugeneralize mambo na inawacost
 
Boss tunaelewa single mama wamelea watoto wao kwel na hata kwa shida, ila wewe mwnaume kama unataka ndoa stable au uhusiano stable usimwoe mwanamke single mama ambae mzaz mwenza yupo hai, UKIAMUA KUOA....TAKE AT YOUR OWN RISK
 
Huko ni kutojiamini na ubinafsi tu, single maza wanaolewa vizur tu na ndoa zinadumu,
 
Boss tunaelewa single mama wamelea watoto wao kwel na hata kwa shida, ila wewe mwnaume kama unataka ndoa stable au uhusiano stable usimwoe mwanamke single mama ambae mzaz mwenza yupo hai, UKIAMUA KUOA....TAKE AT YOUR OWN RISK
Maisha hayafanani kama uliumizwa ww utajijua mwenyewe......sijui kwanini inawauma sanaaa, akyamungu single maza ni nomaa
 
Boss tunaelewa single mama wamelea watoto wao kwel na hata kwa shida, ila wewe mwnaume kama unataka ndoa stable au uhusiano stable usimwoe mwanamke single mama ambae mzaz mwenza yupo hai, UKIAMUA KUOA....TAKE AT YOUR OWN RISK
Hiv ni kweli usipooa single maza ndoa inakua stable???? Duh unaruka mkojo unakanyaga mavi....
Ndoa ni pana brazaaa ngoja ukue uyaone
 
Huu mwandiko kama vile we ndo jamaa mwenyew[emoji12] [emoji12] halafu sio wote wa hivyo mi nimezaa na jamaa lakini tunaonana january kwenye ada ya mtoto na hata nyege nae sina
We nawe umependwa si u funguke????
 
Mwanamke yoyote kama alishawah kukuvulia pichu zaid ya Mara moja,unanafas kubwa sana ya kumvua tena
Amekudanganya nani?wanawake tunajua kuigiza sana ujue na huwez jua sababu ya yeye kukubal umvue [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijipe moyo
 
Well noted ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…