simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 522
- 698
hili ndo jambo ambalo sisi wanaume tunalifumbia macho..in long run..wewe pia utakua adui mda mwingine kwake..na huyo atakua rafiki yake ..ni maisha..huyo ni mzazi mwenzie , they are bonded by blood, so kuw mpole sector hiyo...na navosema long run naongelea 5 10 , 15 mbeleni...kuwa mpole kubali juu chini lilalwo na liwe..kwamba mzaz mwenzie tuuu ndo utakubali fair play,..zaidi ya hapo uwe mbogoMmh kwa picha ilivyo sizani kama hilo litatokea maana kuna mengi sijayaweka wazi ila kuna uadui mkubwa sana
As long as wana mtoto, huwezi jua haijalishi nini kilitokea.Mmh kwa picha ilivyo sizani kama hilo litatokea maana kuna mengi sijayaweka wazi ila kuna uadui mkubwa sana
Nimekusomahili ndo jambo ambalo sisi wanaume tunalifumbia macho..in long run..wewe pia utakua adui mda mwingine kwake..na huyo atakua rafiki yake ..ni maisha..huyo ni mzazi mwenzie , they are bonded by blood, so kuw mpole sector hiyo...na navosema long run naongelea 5 10 , 15 mbeleni...kuwa mpole kubali juu chini lilalwo na liwe..kwamba mzaz mwenzie tuuu ndo utakubali fair play,..zaidi ya hapo uwe mbogo
mkuu jamaa kafanya effort kum convince..sasa anahitaji kutu convince wahenga..lolSingle mothers wengi, pasua kichwa balaaa.
Mmh kwa picha ilivyo sizani kama hilo litatokea maana kuna mengi sijayaweka wazi ila kuna uadui mkubwa sana
Usiongee na mtoto huyo,Kwaiyo ni tatizo sio?
Nina uzoefu na hili,si kweli kwa wote,As long as wana mtoto, huwezi jua haijalishi nini kilitokea.
Labda kama alimbaka tu, ila kama walikuwa wapenzi, ni pasua kichwa. Unaweza kuja umizwa badae, au kubali tu matokeo.
Usijipe moyo!
Wewe acha assumption zako wewe anaweza akawa single mother na bado watu wengine wakawa wanamgegeda kama kawa sasa wewe oa single mother kwa sababu tu eti atakuwa mwaminifu mwanamke mwanamke tu hata akiwa single motherIla nachojua ukiamua kujitosa kuoa single mother, hakika hiyo ndoa itadumu sana....(Kutakuwa na uvumilivu flan hivi kwa kuhofia jamii itamuonaje ikiwa ataachika tena)
oa tuMimi mwenyewe nataka kuoa single mother....wacha tusikie maoni ya wadau