Sakala Sakala
Senior Member
- Sep 17, 2017
- 113
- 76
Dah kuna mwelekeo huo.. lakn kwann sasa single parents wengi wanalalamika tena hawapati wenza?Kwani uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kuna mwelekeo huo.. lakn kwann sasa single parents wengi wanalalamika tena hawapati wenza?Kwani uongo
Ni kweli mkuu..Ndoa ni Baraka za Mungu hakuna cha kufananisha ni Nusu ya Imani ya Dini. Itukuzwe ndoa na watu wote.
Yaan hapa kila Jambo lina uzito wake maisha ya kutokuwa na mume nayo magumu.Dah kuna mwelekeo huo.. lakn kwann sasa single parents wengi wanalalamika tena hawapati wenza?
Ni kweli lakini itafika pahala masimango yakizid katika ndoa unaweza ukakufuruNdoa ni Baraka za Mungu hakuna cha kufananisha ni Nusu ya Imani ya Dini tusizidiwe na anasa za Dunia wakuu. Itukuzwe ndoa na watu wote.
Stress ni stress tuu.. muda kama huu Nadya amekumbatiwa. Janeth je?Bora stress za kuitwa single mother kuliko mgumba
Weee huyo mwanaume atakuwa na mtoto njeeStress ni stress tuu.. muda kama huu Nadya amekumbatiwa. Janeth je?
Nilikuwa nazo.. aah cjui nimezifuta bahati mbaya...Naomba namba ya Janeth tafadhali.
Sasa kama wotw wamepima na wako fiti.. ni sahihi Nadya akatafute wa njeeee? kama uwezekano upo lakn😀😀😀Weee huyo mwanaume atakuwa na mtoto njee
Wataelewa nn maana ya nusu ya dini?Ndoa ni Baraka za Mungu hakuna cha kufananisha ni Nusu ya Imani ya Dini tusizidiwe na anasa za Dunia wakuu. Itukuzwe ndoa na watu wote.
Nipoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mawifi wenyewe wa siku hizi na wakwe uolewe tu usizae utajutaa kwa nini uliolewa...lakini ukiwa na watoto na pesa hata ww mwanamke unaoaa tu wanaume kibao wanapenda mseleleko
Mara mia single motherStress ni stress tuu.. muda kama huu Nadya amekumbatiwa. Janeth je?
Mke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyeweSasa kama wotw wamepima na wako fiti.. ni sahihi Nadya akatafute wa njeeee? kama uwezekano upo lakn😀😀😀
Unataka kusema kuwa.. mara mia mume wa Nadya akatafute huko nje.. Nadya abaki hivyo hivyo.. 😵😵😵 ataletewa kulea.. au vp?Mke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe
Hapana wavumiliane tu maana walishakula kiapo tutapendana ktk Shida na raha Shida ndo Kama hizoUnataka kusema kuwa.. mara mia mume wa Nadya akatafute huko nje.. Nadya abaki hivyo hivyo.. 😵😵😵 ataletew kulea.. au vp?
Bora stress za kuitwa single mother kuliko mgumba
Ulitaka nichague ipi??? Na mada inasemaje kwani???....This is wrong comparisons kwa sababu kati ya ndoa 10 ni ngapi zinatoa hilo tatizo? Kwa nini asilinganishe single mother Vs married with children? As per your comments huo unaouita ugumba hakuna anayependa (Vs U single mother ambao ni by choice) ndiyo maana waswahili husema pamoja na kuolewa kupata watoto ni majaaliwa ya mungu.
....This is wrong comparisons kwa sababu kati ya ndoa 10 ni ngapi zinatoa hilo tatizo? Kwa nini asilinganishe single mother Vs married with children? As per your comments huo unaouita ugumba hakuna anayependa (Vs U single mother ambao ni by choice) ndiyo maana waswahili husema pamoja na kuolewa kupata watoto ni majaaliwa ya mungu.