Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ndoa ni Baraka za Mungu hakuna cha kufananisha ni Nusu ya Imani ya Dini tusizidiwe na anasa za Dunia wakuu. Itukuzwe ndoa na watu wote.
Ni kweli lakini itafika pahala masimango yakizid katika ndoa unaweza ukakufuru
 
We jamaa umefikiria ni lakini, yote ni maumivu tu unajua ndoa kwa africa ni kitu cha heshima kdg ila tusubiri wazungu wanavyozidi kubomoa maadili nadhani single mother bila ndoa itakuwa ni the best kwa wanawake wengi.....kwasasa ni 50/50
 
Ndoa ni Baraka za Mungu hakuna cha kufananisha ni Nusu ya Imani ya Dini tusizidiwe na anasa za Dunia wakuu. Itukuzwe ndoa na watu wote.
Wataelewa nn maana ya nusu ya dini?
Wenzio wanazaa hata watoto eti ndo baadae wanafunga ndoa! [emoji23][emoji23][emoji23] pata nusra kwanza,pata stara kwanza kuzaa ni mipango ya mungu
 
Mawifi wenyewe wa siku hizi na wakwe uolewe tu usizae utajutaa kwa nini uliolewa...lakini ukiwa na watoto na pesa hata ww mwanamke unaoaa tu wanaume kibao wanapenda mseleleko
Nipoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bora stress za kuitwa single mother kuliko mgumba

....This is wrong comparisons kwa sababu kati ya ndoa 10 ni ngapi zinatoa hilo tatizo? Kwa nini asilinganishe single mother Vs married with children? As per your comments huo unaouita ugumba hakuna anayependa (Vs U single mother ambao ni by choice) ndiyo maana waswahili husema pamoja na kuolewa kupata watoto ni majaaliwa ya mungu.
 
Ulitaka nichague ipi??? Na mada inasemaje kwani???
 
....This is wrong comparisons kwa sababu kati ya ndoa 10 ni ngapi zinatoa hilo tatizo? Kwa nini asilinganishe single mother Vs married with children? As per your comments huo unaouita ugumba hakuna anayependa (Vs U single mother ambao ni by choice) ndiyo maana waswahili husema pamoja na kuolewa kupata watoto ni majaaliwa ya mungu.

Nimelinganisha single mother na childless mother kwa sababu wote wana faraja moja na changamoto moja... sasa ni kwa jinsi kiwango gani wanatumia zaidi ile faraja
 
Back
Top Bottom