Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

hapo sio jirani tu kuwa nikimeo peke yake
hata huyo Mume nae hajui kujibalaguza UNAANZAJE KUMWAMBIA MWENZIO KUWA NIMEKULA CHAKULA KWA MAMA FLANI
yaaani halo lazima utaibua maswali kibao yasiyo na majibu kwamkeo kwamba wakati anakula ilikuwaje alikuwa analishwa au ???
inamaana kaona kuwa chkula changu huwa sikipiki vizuri mpka kaamua kula kwa jirani..e.t.c

Ktika vitu ambavyo nimewahi kujifnza ktka relationship hizi ''HAKUNA JAMBO BAYA KAMA MWENZIO APOTEZE MUDA WAKE KUKUANDALIA KITU KISHA UKASHINDWA KUONYESHA THAMANI YAKUTHAMINI KILE ALICHOKUANDALIA
 
Single mama

Madam be careful na walivyogo na kitu sasa km tusiposemeshana poa ila mazoea ya kipuuzi sitakagi
 
Hapa mtaani kuna dada mmoja mwajiriwa serikalini. Amejaliwa kujenga jirani yetu.

Dada huyu ana watoto wawili wa kiume. Kwakuwa hubby ni mpenda mpira na anafundisha watoto wa mtaa, dada huyu amemuomba hubby awachukue watoto wake kwenye team.

Amemuomba hubby awe baba wa kipaimara wa mtoto mkubwa, niliona ni jambo zuri. Tatizo ni pale anapomwita hubby kuwa ana matatizo na mara nyingi huwa anapika chakula kabla ya kumwita. Hubby akitoka huko anasema nimeshakula mama flani alimpa chakula.

Anajua hata favourite meal ya mume wangu, nina jirani kweli hapa?
Acha akusaidie tu maana ww naona umetingwa na kazi ya kutunga visa vya uongo hapa jf.
 
Kumbe hujui kupika,hadi jamaa anaenda kula kwa jirani!! Ongeza bidii jikoni mama!
 
Anapitia huko akitoka kazini, anatumia ujumbe mfano TV haifanyi kazi ninaomba uje uisngalie, cha ajabu na machalari yanapikwa
Huyu bwana nae mbona kama ana yapenda hayo? yeye amekua fundi? angemtumia fundi au aseme yuko busy full stop.
 
Heri ya mwaka mpya wakuu wote hapa JamiiForums


Kuna rafiki yangu mmoja hivi nilisoma naye chuo, huyu jamaa katika mwaka wake wa pili tangu aanze kazi alikutana na mfanyakazi mwenzie ambaye ni mtaalamu wa madawa ya binadamu (Pharmacist)

Wakaanza mahusiano ya mapenzi,lakini kiuhalisia jamaa yeye alikuwa naye kwa kujifurahisha tu kwa kuwa tayarialikuwa na mchumba wake lakini alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine, akaamua amchukue huyu mfamasia kwa ajili ya kucheza rafu za hapa na pale na kuondoa upweke usio wa lazima.

Lakini kumbe mdada wa watu kajiongeza na hatimaye akamtegea jamaa siku zile za hatari, jamaa akiwa hana habari na mpango wa bibiye hatimaye akamtandika ujauzito, jamaa akaja juu kwamba kwanini ameshika ujauzito bila makubaliano? Akamwambia achoropoe,bibiye akagoma.

Basi jamaa kwa hasira akampiga kibuti demu,mahusiano yakafa lakini baadaye akasema wtashirikiana kumlea mtoto ila mapenzi yafe, mdada akasema haina shida.

Kwa hiyo kila mara wanatembeleana kwa ajili ya mtoto ila mambo ya mapenzi hakuna.

Sasa imepita miaka kama miwili hivi kajitokeza mshikaji mwingine anataka kuchukua mzigo jumla (kuoa), sasa katika process za utoaji barua, eti bibiye anampigia simu baba wa mtoto kuwa anataka kuolewa hivyo ampe ruhusa ya kuolewa ahahahahahhahahahah; jamaa akamwambia we olewa,unaniomba ruhusa kama nani wakati mi na wewe tulishaachana?

Kwa kufupisha stori, kiufupi pamoja na mchakato wa ndoa kuendelea lakini binti anaonesha matendo ya kidhaifu mno kwa mzazi mwenzie kiasi kwamba hata jamaa akiamua kuomba mzigo anaweza kupewa bila masharti; hali hii imefanya kutokea mgogoro mkubwa kati ya mume mtarajiwa na binti,mgogoro unaotokana na wivu wa mapenzi unaochagizwa na tabia ya binti kuwa dhaifu mno kwa mzazi mwenzie.

Kwa mujibu wa rafiki yangu anakiri kiukweli wakikutana na bibiye kwa ajili ya kumjulia hali mtoto, bibiye anakilegeza mno,yani anajiweka kiromantic na hayuko seriously sana kama mtu ambaye kweli anatarajiwa kuolewa.

Sasa, mimi naomba kuwauliza humu wana JF, Hivi ni sababu ipi haswa inayopelekea mabinti wengi kuwa dhaifu kwa wanaume waliozaa nao kiasi cha kuwapa wakati mgumu waoaji?

Hivi haiwezekani mkizaa mkaachana moja kwa moja bila kuwa na shauku ya kukumbushia mapenzi?
 
Huyo mwanamke ni mpumbavu angekua na akili huo ujinga asingefnya,yaan mtu anaonesha waz kabisa kua hakuhitaj still unamnyenyekea na kuuliza et niolewe mfyuu mtoto isiwe kigezo aisee ,mapenz yakiisha yangu yang hayakuhusu na yako hayanihusu..angeolewa tu jamaa atapataga taarifa nae akioa atasikia tu anamuliza kama nan wanawake wengne bhna hao ndo wanaofnya sngle mom tuonekane WA hovyo kumbe sivyo
 
Back
Top Bottom