Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Tatizo lao kubwa sana ni mtoto yaani wanapenda uwe mtumwa kwa mtoto wake huyo ulomkuta naye hata ukizaa naye wewe bado atahitaji umnyenyekee zaidi huyo mtoto ulomkuta naye. Yaani hatalidhiki kwa mtoto wake huyo mpaka umpende na kumnyenyekea kuliko mama ako mzazi.
Aisee
 
Hasara:

1. Kulea mtoto si wako.
2. Kumfungulia mtoto benki akaunti.
3. kumhudumia mwanamke.
4. Kuhudumia wazazi wa mwanamke na kuhudumia baba wa mtoto huyo.
5. Baba wa mtoto anayo haki ya kuja kulala kwako muda wowote.

Faida:

1. Kujua thamani ya mkeo na mtoto wako wa kambo.
2. Kuhudumia familia yako vyema.
3. Baraka kwa wazazi wa mke na kuibariki ndoa.
4. Kupata watoto ukiwa na huyo mwanamke.
5. Kuleta maendeleo makubwa na sapoti kutoka kwa mkeo.

[emoji4]
Sasa baba mtoto anakujaje kulala kwangu
 
Ila bado kuna vijana mnahisi ukiwa kwenye mahusiano na single mother basi lazma umegewe na mzazi mwenzie..ebu acheni hzo bana..sio kila singlemom ana hizo mambo
 
Wewe uliyeshindwana na mzazi mwenzako umemchukua aliyeshindwana na mzazi mwenzake!

Hongera!u wll make a good couple!
 
Mimi nilikua na mmoja kazuri kweli ila tatizo lake ni kwamba ela yangu anaipangilia yeye.mfano nikitoka kumgegeda,nampa labda elfu kumi ya nauli.sasa hapo hapo anaanza nataka chips mayai,kuku nusu,sijui nini na nini.nikaona isiwe kesi,nikarara nae mbere kwa mbere
 
Back
Top Bottom