Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Usijifanye una shule sana kuliko mimi. Nina lack materials ulinipeleka wewe shule na ukaona maendeleo yangu?

Point ni kuwa, kama umeshindwa kuzuia mimba kwa njia zote zinazofahamika duniani basi acha uzinzi. Kutumia kondom na kumwaga nje ni baadhi tu ya njia za kuzuia mimba. Go back to school and claim your fees. Otherwise find somewhere else to cry.
Sio kujifanya ndio huna elimu ya uzazi kichwani ndo maana unaleta ujinga u dumbass.....umepanic na umefeli ndo nshakwambia sasa
 
Usilinganishe password za simu na mzunguko wa hedhi unapohama kutoka mazingira yenye joto kwenda yenye baridi mzunguko unachange ukibadilisha aina ya vyakula kama umetoka boarding na kula msoc wa home mzunguko unachange so unaeza kukuta kwa mwezi umebleed mala mbili upo apo apo ukienda tu unanasa najaribu kukuelewesha unaonekana una luck some materials kichwani mwako.... Ndio sio jukumu lako kukariri Sikh basi iwe jukumu lako kutumia Mpira au kama huwezi mwagia nje .....
Mkuu usitoke nje ya mada .... Hayo yote yanajulikana ...so kwa mwanamke mwenye utimamu wa akili lazima awe makini kwenye swala LA ku sex na sio ajiachie tuu kijinga apigwe mimba asingizie et mzunguko wake ulibadilika sababu n kawaidah MTU akihama mazingira. Yan usitafute point ya kutoonekana una makosa
 
OK zen bye[emoji112]
 
Siyo tu kuoa Single Mother hata kuoa ambaye siye Bikira bado ni makosa makubwa sana ingwa wengi wanafumbia tu macho. Mwanamke anapaswa kuolewa akiwa "Bikra" safi kabisa ambaye hajaguswa na Mwanaume mwingine.

Mimi binafsi nimesema siku nikiwa tayari kuoa, basi nitaoa yule ambaye ni "Bikra" maana ni uchafu kuoa Mwanamke ambaye ameshagegedwa na Wanaume wengine!
 
Ploe
 
Habari zenu.

Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.

Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.

Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.

Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.

Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.

"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea

Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.

Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.

Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.

Meraki
Vijana waliokosa udahili wa vyuo wanakuja kumalizia stress zao kwa single mother, subir second selection.
 
Siyo tu kuoa Single Mother hata kuoa ambaye siye Bikira bado ni makosa makubwa sana ingwa wengi wanafumbia tu macho. Mwanamke anapaswa kuolewa akiwa "Bikra" safi kabisa ambaye hajaguswa na Mwanaume mwingine.

Mimi binafsi nimesema siku nikiwa tayari kuoa, basi nitaoa yule ambaye ni "Bikra" maana ni uchafu kuoa Mwanamke ambaye ameshagegedwa na Wanaume wengine!
wewe bikra??
 
Back
Top Bottom