Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wanaume wa mkoani Njooni huku msikie kisanga cha wa mkoani mwenzenu
 
Wewe nae kidogo umenichanganya, au mimi ndo sijaelewa, unasema kaka ako alioa miaka 5 iliyopita, alafu hapo hapo tena unasema hawajaoana, which is which? Back to the main point, Huyo kaka ako ana matatizo gani? kakamilika kiume? i mean kiuchumi na kimaungo, yuko sawa? dunia ya leo hii watu wanatafuta wanaume wa kuwaoa mpaka wanakesha makanisani wakifunga na kuomba na wengine wanabadilisha waganga kila siku wapate ndoa, cha ajabu yeye ameng'ang'ania kwa mwanamke wa hivyo? Mzazi mwenzie kwenda kumuona mtoto mpaka ana lala hapo hapo? ya wapi hiyo? eti ameshindwa kwenda kwa huyo dada kisa mzazi mwenzie yupo? hiyo inaingilia akilini kweli kwa mwanaume aliekamili? hata hao majirani siwana shangaa nani mume hapo kati yao wawili, na hali ilivyo kaka ako ndo anaonekana mwizi, hebu tueleze vzr, au kaka ako mariooo alafu huyo dada ndo mwenye mkwanja mrefu anamtunza jamaa ndo mana amegeuzwa bushoke. Kama utaniambia kaka ako yuko kamili, kiuchumi, kiakili na kimaumbile, basi ntaamini UCHAWI UPO, mana sio kwa kufanywa zezeta kiasi hicho
 
So sad, kwa mwanamke mwenye akili timamu hawezi kufanya garbage km hiyo bro wako katawaliwa na mwanamke na mwanamke anafanya hivyo kwa sababu anajua bro wako hawezi mfanya chochote.

Mshauri jamaa amuwekee msimamo Shem wako kwamba hataki mawasiliano na mzazi mwenzie Shem wako akikataa wazazi na ndugu wa pande zote mbili washirikishwe
huyo kaka angekuwa na uwezo wa kuweka huo msimamo huyo mdogo mtu asingekuja kuomba ushauri, hapa sizani kama ana ubavu huo
 
Pole sana mdogo mwema,usipoteze dakika kumshauri hii si vita ya nyama ni vita ya kiroho,KAKA YAKO AMELOGWA ,Nenda kwa masheikh au wachungaji watakushauri,kama huna dini waganga waingie mitamboni illa jihadhali na matapeli
 
Du ndo hapo mm kupiga mwanamke siwezi acha, yan anaweza akafa.kwanza ni ile unasemaje ww nasema mtoke wote hapo sasa hivi
Yan hapo anampiga mashine kama nn na ameisha mzarau mme wake vbaya mno.
 
Kaka yako Ni mjinga wa kupindukia.
Huyo mwanamke Ni mama yake kwamba Yuko peke yake?
Nawashangaa Sana wanaume wanaojifanya kuwapenda wanawake waliokutana ukubwani kiasi Cha kutoelewa hata yanayoendelea.

Kweli hawara wa mkeo analala na mkeo na anakuzuia wewe kwenda bado unajiamini wewe Ni mwanaume?

Kweli??

Men are changing towards women side
 
Utampendaje mtu kuliko wewe?.Hapo hana mke piga kata funua au la atasaidiwa mtt mwingine huyo kaka yako.
 
Mpe pole kaka ako na umwambie pombe sio suluuhu
Aongee na mwanamke wake juu ya hiyo tabia..tena aongee akiwa anamaanisha maana wanawake akili zetu tunazijuaga wenyewe hasa kama hatujitambui

Muda ufike wanawake tuache endekeza wanaume tuliozaa nao jamani..kama umeamua kumove on ...move on sio kuumiza mtoto wa mwanamke mwenzio kwa kwa kisingizio cha mnalea mtoto na mzazi mwenzio
 
Brother ako anazingua, piga chini..ivi kwel mwanamke anakuletea mafyongo fyongo, mi ungekuta nimesha mchapa vitasa na navuta chombo ingine,..achane nae tu amna jinsi alaf asake pesa sio kumwazia aliyeshindikana kuanzia kwenye bustani ya Eden.
 
namba moja

Hata akipewa bibie atajidai anamjulia hali kammiss mtoto amuone sababu n mwanamke asiejielewa huko kuonana kwa mtoto lazima watamkaribisha shetani

Namba mbili

Ataleaje mtoto s dam yake na baba yake yu ngali hai??? Akisema hajashindwa mlea mtoto?

Namba tatu

Hiyo ndio kubwa kuliko kujutaftia majaka ya moyo

Huyo dada hata akiolewa na huyo kaka bado tu ataharibu mbele kisjngizio ni mtoto
Kwa kuwa wewe ni KE wacha niComment...

Kwa hiyo hapo unakubali kwamba Single mother hawaaminiki na hawastahili kuolewa mpaka sasa kwa mtazamo wetu sisi wanaume?

Binafsi sioi single mother hata kama mumewe kafariki, maana anaweza kutembea na shemeji yake kisa kumjulia hali mtoto wa marehemu
 
Back
Top Bottom