Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo kaka angekuwa na uwezo wa kuweka huo msimamo huyo mdogo mtu asingekuja kuomba ushauri, hapa sizani kama ana ubavu huoSo sad, kwa mwanamke mwenye akili timamu hawezi kufanya garbage km hiyo bro wako katawaliwa na mwanamke na mwanamke anafanya hivyo kwa sababu anajua bro wako hawezi mfanya chochote.
Mshauri jamaa amuwekee msimamo Shem wako kwamba hataki mawasiliano na mzazi mwenzie Shem wako akikataa wazazi na ndugu wa pande zote mbili washirikishwe
kwamba utachezea kidochiKuoa demu mwenye mtoto ilhali baba mtoto yuko hai, ni sasa na kubusu miguu ya Nyumba ya punda.
Kwa kuwa wewe ni KE wacha niComment...namba moja
Hata akipewa bibie atajidai anamjulia hali kammiss mtoto amuone sababu n mwanamke asiejielewa huko kuonana kwa mtoto lazima watamkaribisha shetani
Namba mbili
Ataleaje mtoto s dam yake na baba yake yu ngali hai??? Akisema hajashindwa mlea mtoto?
Namba tatu
Hiyo ndio kubwa kuliko kujutaftia majaka ya moyo
Huyo dada hata akiolewa na huyo kaka bado tu ataharibu mbele kisjngizio ni mtoto
Kumbe kanipita mwaka mmoja tu, sasa mbona mi nimekomaa kiakili ye bado!!?