Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kama Ni PM nilikwambia nionyeshe,hukuniontesha... unadhani Mimi ningeanza kukubembeleza kwamba zurri nionyeshe Basi.
Niliwambia maswali yangu kuhusu Biblia.

Pili,humu kuna maswali nawauliza lakini naona mnapuyanga puyanga tu.
 
Wewe una ukilaza wa kimadrasa

Unasema amekuambia Yesu alitumia Biblia akiwa katika Sinagogi halafu tena umeandika:-

''Kwa maana hiyo Biblia ilikuja baada ya Yesu''


Unaelewa ulichokiandika wewe mwenyewe?

Hebu kisome tena.
Tatizo tunamvuruga.
Si unajua mtu aliyekariri anataka aandike sawa na alivyokariri ukimtikisa kidogo hautoamini jinsi anavyochanganyikiwa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nilijua huna hoja,sasa nakuuliza swali je wapi katika Uislamu umekataza kumuoa binti wa miaka 9 ?

Na kama lingekuwa kosa,Allah angemkemea sasa ni wapi katika Qur'aan alikemewa juu ya Kumuoa mama Aisha ?

Kubaka maana ake nini ? Je wanandoa wanabakana ? Je kwa mujibu wa sheria zenu wanandoa wakibakana wanapewa adhabu gani ?

Unatakiwa uwe serious na uache utoto,hapa tunajadili mambo ya kielimu.
Pombe iwe haramu duniani lakini kule Peponi mkakute mifereji ya Pombe inaingia akilini?

Peponi kuna kiwanda cha pombe sio?
 
Ndivyo Walivyoahidiwa.

Nahisi mpaka sasahv Mudy yupo anawarudia rudia wakwake.
Yule jamaa mjanja Sana.
Aliona hapa ili wasijue ukweli ngoja niwaambie Yesu hakufa...maana angewaambia ukweli kwamba alikufa akafufuka ndio akapaa mbinguni aliona watakuja kumdharau akifa,maana hawezi kufufuka.
Akaona ili asawazishe Mambo,aonekane ametoka ngoma droo na Yesu...akawaambia Yesu hakufa[emoji3].
 
Tatizo mnaandika mambo ya uongo,sasa mtu anakwambia Yesu alihubiri Biblia kwenye masinagogi wakati Biblia imekuja kuandikwa miaka mingi baada ya Yesu kufa,huyu anakuwa amekusudia kuongopa au hajui anachokiandika.

Nachotaka mimi ni nyinyi kuandika ya kweli na mkubali ukweli na mjibu maswali yangu nayo wauliza.
Hebu kwanza nipe ushahidi kwamba Qur'an ilishushwa kutoka mbinguni.
 
Nakufundisha sasa,tamko TAFSIRI ni tamko lenye asili ya kiarabu,lenye maana ya kufafanua jambo kwa undani katika lugha husika,mfank wa maneno yenye maana sawa na Tafsiri ni "SHEREHE" na "HAASHIYA".

Tamko hili waswahili humaanisha ni kutoa neno lugha moja kwenda lugha nyingine,na imetuijia au kutufikia ya kuwa Tarjama kwa Kiswahili ndio kutoa maana ya neno kutoka lugha moja kwenda nyingine.
Kwahiyo?
 
Unajadili vipi Elimu ilihali mlishaikataa Elimu kuanzia na Mtume wenu?
Aya za mwanzo kushuka mtume aliambiwa asome mzee,ndio maana tunasoma mpaka pumzi yetu ya mwisho.
Muhammad kumbaka mtoto wa miaka 9 kisha kumuoa ni sahihi?
Nipe ushahidi wapi alimbaka kisha ndio akaja kumuoa ? Maana naona unazidi kujichanganya.


Aliruhusiwa katika sura ipi?
Nilikwambia huko mwanzo ya kuwa hakukatazwa jambo hilo ndio maana alioa. Sasa unapouliza swali la kitoto naona kama umeamua kupoteza muda wakati jibu liko wazi.
 
Niliwambia maswali yangu kuhusu Biblia.

Pili,humu kuna maswali nawauliza lakini naona mnapuyanga puyanga tu.
Mbona nilikuuliza Ni yapi hukuniontesha Tena.
Ukasingizia tu post hazina namba...nikakwambia tafuta unionyeshe,,haukunionesha..
Unadhani Mimi nitaota na kukisia maswali uliyoyauliza !??
Ntakujibu vipi maswali bila kuyaona hayo maswali!?

Hapa unataka majibu yapi zurri...embu legeza ubongo wako..
Mbona maswali yako yote umejibiwa hapa.
Hivi huyo Muhammed anayajua Sana maandiko kuliko Yesu kiasi Cha kuja kugeuza yaliyokuwepo!?
Hushtuki tu Kama anawadanganya?
 
Wapo mpaka wapagani,nachotaka toka kwenu mjue mnachokiandika,sasa mnaposema mtume amecopy neno la kiarabu hali ya kuwa neno hilo ni lao,huini kama umeamua kuwa muongo ?

Naomba uwe unajibu maswali yangu nayokuuliza.
Wewe ulitubishia mwanzo kwamba kafiri linatumika na waislam kwa watu wasioamini. Hivo sisi wakristo hatupaswi kutumia hilo neno tutafute letu.

Ndio tukakwambia kabla ya uislam neno kafiri lilishatumika na kama unavyojua Qur'an imechakachuliwa kutoka kwenye biblia usichoelewa ni kipi?

Hapa hatuangalii neno ni LA nani tunaangalia nani alikuwa wa kwanza kulitumia
 
Hao watakaopewa wawili ni watenda dhambi ila watakaopewa 72 ni wale wauaji na wanaokufa wakiwa kwenye kusudio la kuua.
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kuwaambia haya jamaa akawahi viwanja..naye anasubiria kuja kufufuliwa .
 
Aya za mwanzo kushuka mtume aliambiwa asome mzee,ndio maana tunasoma mpaka pumzi yetu ya mwisho.

Nipe ushahidi wapi alimbaka kisha ndio akaja kumuoa ? Maana naona unazidi kujichanganya.



Nilikwambia huko mwanzo ya kuwa hakukatazwa jambo hilo ndio maana alioa. Sasa unapouliza swali la kitoto naona kama umeamua kupoteza muda wakati jibu liko wazi.
Unaona akili zenu zilivyo ndogo...!

Yaani kubaka ni mpaka uambiwe kuwa hapa umebaka?

Mtu mzima kumlala mtoto mdogo wa miaka 9 ni kosa lililo wazi ambalo kwa mwenye akili hasubiri kuhabarishwa kuwa hilo ni kosa...labda Mtume Wenu tu.

Mbona sasahivi hamuwaoi watoto wa miaka hiyo?
 
Pombe iwe haramu duniani lakini kule Peponi mkakute mifereji ya Pombe inaingia akilini?

Peponi kuna kiwanda cha pombe sio?
Mola alivyoumba miti na milima,na viumbe wengine ulijiuliza kulikuwa na viwanda ?

Mola wetu ni mjuzi wa kuumba na akitaka jambo liwe basi linakuwa.
Kuhus pombe kukatazwa duniani na kuruhusiwa peponi,hizi ni nyakati mbili tofauti na hii ni sheria na utaratibu anao uweka yeye,kwamba hili kwa duniani liwe haramu ila kwa peponi liwe haramu.

Ila una maswali ya kitoto sana,unahoji viwanda peponi wakati yupo mjuzi wa kuumba,akitaka jambo liwe linakuwa tu.
 
Back
Top Bottom