Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Yaani
Asante sn mtoa mada nilikue
Wa naisubir kwa hamu sn hii topic mm nimelelewa familia ya wanawake watupu mama na dada zangu wawili wakubwa ambao wana baba zao kila mmoja na baba ake mtoto wa 3 nina baba yangu ambae ndie alikuwa tegemez ata kwa wale dada wasio wanae ila alikuwa ameoa mke mwengine ambae aljkuwa anaish nae nyumban alikuwa anakuja mara chache sn aisee usiombe kuzaliwa familia ya hii balaa lipo hv

1.mama alitumia nguvu nyingi kunidanganya km bawa dada zangu tumezaliwa baba mmoja
2.nilitumika km kitega uchumi mama alikuwa akimuandikia baba barua juu ya matumiz yangu lkn pesa zilipoletwa zilitawanywa na sikupata ata punje
3.mama hataki kukosolewa na anachotaka ufanye kile anachokuagiza utasikia nasema ivyo km mama io ni amri
4.dada zangu hawakuwa na upendo ni full vijembe mipasho na matusi mama yupo apo anaangalia
5.baba akija kutembea wanabadilika wanajifanya wananipenda
6.ukipata matatizo au ukilia wanashangilia tena wanacheka kabisa niliwah kuwakuta dada na mama wanashangilia hii ni baada ya kunisingizia kwa baba kuwa nimempiga mama
7.unalazimishwa kuvaa nguo wanazotaka

Naomba tuishie apo wadau maana nikisema nijaze utawachukia wanawake wote WANAWAKE NI WANAFIKI i hate them siku nikipata mda ntakuja ma thread
Yaani mimi,ndo maana nimeapa kutokuzaa kila mtoto na baba ake.haijalishi itatokea ,sitakaa nizae na mwanaume mwingine
 
Na tena wanawake tunachuki wakati nilipokuwa mdogo sijawahi kufikiria sasa nimekuwa ndo naelewa👐
 
Yaani

Yaani mimi,ndo maana nimeapa kutokuzaa kila mtoto na baba ake.haijalishi itatokea ,sitakaa nizae na mwanaume mwingine
Apo umenena mwanamke aloezaa akaachika ni balaa dada piga kaz awalee wanao mumeo akizingua hawa wengine njaa na kutafuta maisha ndio huwa kuna wakimbiza kwa mabwana wengine na sio mapenzi na niliwah kumsikia mwanamke mmoja akisema " nilikuwa natafuta maisha kwa kipindi kile ndio akatokea baba fulani "

Yaani maisha niliopitia nilikuwa najisikia vibaya sn nikikutana na familia ambazo zimepangika wanafuraha wanapendana mbaya zaidi ilikuwa mdingi akija home na marafik zake km sipo itabid nikatafutwe mpaka mtaa wa tatu sababu ilikuwa kuu wale watoto wengine marafik za baba walishashtuka kuwa sio wanae na miguno ya apa na pale mding mwenyewe mpaka kichwa kinamuuna akiniona mm ndio afadhali akiondoka sasa km nilipewa pesa lazima zivutwe yaan ilifika wakati ata wale ambao hawana mama nikawa nawaonea gere ni bora mwanaume azae na wake wengi kuliko mwanamke azae na wanaume wengi na washikaji wakijua utatukanwa SON OF BITCH na wakat huna hatia
 
Pole natamani kujua zaidi ulopitia ila ...pole sana huo ndo msimamo wangu watoto wangu ntazaa na baba mmoja tu
 
Asante sn mtoa mada nilikue
Wa naisubir kwa hamu sn hii topic mm nimelelewa familia ya wanawake watupu mama na dada zangu wawili wakubwa ambao wana baba zao kila mmoja na baba ake mtoto wa 3 nina baba yangu ambae ndie alikuwa tegemez ata kwa wale dada wasio wanae ila alikuwa ameoa mke mwengine ambae aljkuwa anaish nae nyumban alikuwa anakuja mara chache sn aisee usiombe kuzaliwa familia ya hii balaa lipo hv

1.mama alitumia nguvu nyingi kunidanganya km bawa dada zangu tumezaliwa baba mmoja
2.nilitumika km kitega uchumi mama alikuwa akimuandikia baba barua juu ya matumiz yangu lkn pesa zilipoletwa zilitawanywa na sikupata ata punje
3.mama hataki kukosolewa na anachotaka ufanye kile anachokuagiza utasikia nasema ivyo km mama io ni amri
4.dada zangu hawakuwa na upendo ni full vijembe mipasho na matusi mama yupo apo anaangalia
5.baba akija kutembea wanabadilika wanajifanya wananipenda
6.ukipata matatizo au ukilia wanashangilia tena wanacheka kabisa niliwah kuwakuta dada na mama wanashangilia hii ni baada ya kunisingizia kwa baba kuwa nimempiga mama
7.unalazimishwa kuvaa nguo wanazotaka

Naomba tuishie apo wadau maana nikisema nijaze utawachukia wanawake wote WANAWAKE NI WANAFIKI i hate them siku nikipata mda ntakuja ma thread
ungefanya mpango ukakae na mzee.vipi saizi still unaishi nao vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe apo Mme/mke wako ambae upo nae sasa ukimfumunia Mara kadhaa au akiwa na tabia ambazo kwako haziridhishi utaendelea kubaki?
Sikia kuna kuachana hiyo sikatai, lakini pia kuna mtu upo mwenyewe unaenda unazaa na mtu mwenye familia yake unajisikiaje pale unapona ugomvi wa mke na mme kisa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia kuna kuachana hiyo sikatai, lakini pia kuna mtu upo mwenyewe unaenda unazaa na mtu mwenye familia yake unajisikiaje pale unapona ugomvi wa mke na mme kisa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kwenda kuzaa na mtu mwenye familia Mara nyingi hii imekaa kimaslahi hata mtoto akitelekezwa lawama abebeshwe mama tu.( lakini hawa ni asilimia ndogo sana mkuu).

Nachoweza kusema watu wafanye protected sex tu. Sema ndo ivo haiwezekani maana vijana nao wana misemo yao wanakuambia kula pipi na ganda lake hainogi
 
Asante sn mtoa mada nilikue
Wa naisubir kwa hamu sn hii topic mm nimelelewa familia ya wanawake watupu mama na dada zangu wawili wakubwa ambao wana baba zao kila mmoja na baba ake mtoto wa 3 nina baba yangu ambae ndie alikuwa tegemez ata kwa wale dada wasio wanae ila alikuwa ameoa mke mwengine ambae aljkuwa anaish nae nyumban alikuwa anakuja mara chache sn aisee usiombe kuzaliwa familia ya hii balaa lipo hv

1.mama alitumia nguvu nyingi kunidanganya km bawa dada zangu tumezaliwa baba mmoja
2.nilitumika km kitega uchumi mama alikuwa akimuandikia baba barua juu ya matumiz yangu lkn pesa zilipoletwa zilitawanywa na sikupata ata punje
3.mama hataki kukosolewa na anachotaka ufanye kile anachokuagiza utasikia nasema ivyo km mama io ni amri
4.dada zangu hawakuwa na upendo ni full vijembe mipasho na matusi mama yupo apo anaangalia
5.baba akija kutembea wanabadilika wanajifanya wananipenda
6.ukipata matatizo au ukilia wanashangilia tena wanacheka kabisa niliwah kuwakuta dada na mama wanashangilia hii ni baada ya kunisingizia kwa baba kuwa nimempiga mama
7.unalazimishwa kuvaa nguo wanazotaka

Naomba tuishie apo wadau maana nikisema nijaze utawachukia wanawake wote WANAWAKE NI WANAFIKI i hate them siku nikipata mda ntakuja ma thread
Kwanza pole kwa mapito uliyopitia
Pili sio kila mwanamke anatabia kama za mama na dada yako
Usihukumu wanawake wote kwa ajili ya kosa la mama yako
Nasema kosa la mama yako sio dada zako,najua hapo hao dada zako wamepandikizwa mbegu ya chuki toka kwa mama ako
Mfano unaweza kuona kila mama wa kambo ni mbaya lkn sio kweli
Unaweza kukuta mama wa kambo mwingine ni mwema sana kuliko mama mzazi halisi. Na kuna mwanamke mwingine anaubaguzi kwa watoto wake mwenyewe aliowazaa na mwanaume mmoja kwa kubagua nani anamaisha mazuri kwa wkt,nani anakazi nzuri au biashara au pesa.
Samehe toa kinyongo ndani yake ili uzipate baraka za Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom