Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,247
- 2,234
Yaani
Yaani mimi,ndo maana nimeapa kutokuzaa kila mtoto na baba ake.haijalishi itatokea ,sitakaa nizae na mwanaume mwingineAsante sn mtoa mada nilikue
Wa naisubir kwa hamu sn hii topic mm nimelelewa familia ya wanawake watupu mama na dada zangu wawili wakubwa ambao wana baba zao kila mmoja na baba ake mtoto wa 3 nina baba yangu ambae ndie alikuwa tegemez ata kwa wale dada wasio wanae ila alikuwa ameoa mke mwengine ambae aljkuwa anaish nae nyumban alikuwa anakuja mara chache sn aisee usiombe kuzaliwa familia ya hii balaa lipo hv
1.mama alitumia nguvu nyingi kunidanganya km bawa dada zangu tumezaliwa baba mmoja
2.nilitumika km kitega uchumi mama alikuwa akimuandikia baba barua juu ya matumiz yangu lkn pesa zilipoletwa zilitawanywa na sikupata ata punje
3.mama hataki kukosolewa na anachotaka ufanye kile anachokuagiza utasikia nasema ivyo km mama io ni amri
4.dada zangu hawakuwa na upendo ni full vijembe mipasho na matusi mama yupo apo anaangalia
5.baba akija kutembea wanabadilika wanajifanya wananipenda
6.ukipata matatizo au ukilia wanashangilia tena wanacheka kabisa niliwah kuwakuta dada na mama wanashangilia hii ni baada ya kunisingizia kwa baba kuwa nimempiga mama
7.unalazimishwa kuvaa nguo wanazotaka
Naomba tuishie apo wadau maana nikisema nijaze utawachukia wanawake wote WANAWAKE NI WANAFIKI i hate them siku nikipata mda ntakuja ma thread