Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa tumeelewa Wangari MaathaiHata Mimi ningekuwa me ningeoa mwanamke mwenye mtoto tayari walau mmoja!. Kwanza mwanamke alozaa anakuwa amepevuka tayari..
Anajua maana nzima ya Raha ya mapenzi[emoji39]!..lock zote zinakuwa zimetoka![emoji2960]!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)
Hata Mimi ningekuwa me ningeoa mwanamke mwenye mtoto tayari walau mmoja!
Kwanza mwanamke alozaa anakuwa amepevuka tayari. Anajua maana nzima ya Raha ya mapenzi[emoji39]! Lock zote zinakuwa zimetoka![emoji2960]!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)
😆😆😆😆🤭🤭🤭90%hamjui mapenzi..( ukwel mchungu) ukizaa utaelewadaah kwahiyo tusio na watoto tupambane na hali zetu [emoji23][emoji23][emoji23]
basi ngoja nitafute wa kunizalisha ili nijue mapenzi😂😂😆😆😆😆🤭🤭🤭90%hamjui mapenzi..( ukwel mchungu) ukizaa utaelewa
🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 Mie simooobasi ngoja nitafute wa kunizalisha ili nijue mapenzi😂😂
Tatizo laweza kuwa hili, wakati umeshampata mama mwenye mtoto huwa unazidisha mbwembwe kwenye kila kitu kinachomhusu mtoto, so mama anasoma zaidi ya aonavyo, anaanza kuwa na mashaka whether umempenda vile alivyo au unamwogizia, kwa kutokuwa na uhakika na majibu apatayo anaingiwa waoga na kukuzone usiyeeleweka.Je, hili nalo tatizo? Ni nini chanzo?
Lock zote zinakuwa zimetoka!🤭!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)
Ukikua utajua🤭What does this mean Maathari
Jf where we dare... 😝Ukikua utajua🤭
Sijui nininiJf where we dare... 😝
daah kwahiyo tusio na watoto tupambane na hali zetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe kwa nini unataka kununua gazeti jioni?Ni mwaka wa Pili na nusu sasa natafuta mke wa kuoa. Nimeweka sifa kuu moja ni awe na mtoto. Nakumbana na kuzingiti kimoja kikubwa kwamba nidhibitishe kama kweli nitaweza kumtunza mtoto asiye wangu. Nakubali, lakini imekuwa vigumu kuaminiwa kwalo. Napigwa tarehe nyingi sana na wengi sana.
Je, hili nalo tatizo? Ni nini chanzo?
Nahisi jinsia ya 'ME' na 'KE,' kama- PAKA- na -PANYA-.
😂😂😂😂Ezekeni mawe😁😁
Kwa njia gani sasa azae kwanza![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2960][emoji2960][emoji2960]90%hamjui mapenzi..( ukwel mchungu) ukizaa utaelewa
Jokes hizo mkuuKwa njia gani sasa azae kwanza!