Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ni mwaka wa Pili na nusu sasa natafuta mke wa kuoa. Nimeweka sifa kuu moja ni awe na mtoto. Nakumbana na kizingiti kimoja kikubwa kwamba nidhibitishe kama kweli nitaweza kumtunza mtoto asiye wangu. Nakubali, lakini imekuwa vigumu kuaminiwa kwalo. Napigwa tarehe nyingi sana na wengi sana.

Je, hili nalo tatizo? Ni nini chanzo?

Nahisi jinsia ya 'ME' na 'KE,' kama- PAKA- na -PANYA-.
 
Hata Mimi ningekuwa me ningeoa mwanamke mwenye mtoto tayari walau mmoja!
Kwanza mwanamke alozaa anakuwa amepevuka tayari. Anajua maana nzima ya Raha ya mapenzi[emoji39]! Lock zote zinakuwa zimetoka![emoji2960]!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)

Daah kwahiyo tusio na watoto tupambane na hali zetu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiuhalisia kutokana na utafiti Wangu mdogo , wapenzi wengi wanaokutana humu kwenye mitandao wengi huwa hawana u serious Fulani , mmoja anawaweza akawa yupo serious, either anaetafuta au anaetafutwa asiwe serious, akawa Kama anabip tu kupima upepo, akiona mambo yako tofauti na alivyofikiria kwa aliyempata kupitia humu basi ndio inakua mwisho Wa hayo mahusiano, na Mara nyingi hua yamejaa uongo uongo mwingi na wasi wasi nyingi.

Kwa hiyo Kama ulitafuta huyo mwanamke kupitia hii mitandao ya kijamii , hizo changamoto ni lazima ukutane nazo mkuu .
 
Je, hili nalo tatizo? Ni nini chanzo?
Tatizo laweza kuwa hili, wakati umeshampata mama mwenye mtoto huwa unazidisha mbwembwe kwenye kila kitu kinachomhusu mtoto, so mama anasoma zaidi ya aonavyo, anaanza kuwa na mashaka whether umempenda vile alivyo au unamwogizia, kwa kutokuwa na uhakika na majibu apatayo anaingiwa waoga na kukuzone usiyeeleweka.


My take, next time to your next prey 😀😀jaribu na jitahidi sana kuwa real usiexaggerate feelings zako kwenye maswala yawahusuyo mama na mwanae.
 
Ni mwaka wa Pili na nusu sasa natafuta mke wa kuoa. Nimeweka sifa kuu moja ni awe na mtoto. Nakumbana na kuzingiti kimoja kikubwa kwamba nidhibitishe kama kweli nitaweza kumtunza mtoto asiye wangu. Nakubali, lakini imekuwa vigumu kuaminiwa kwalo. Napigwa tarehe nyingi sana na wengi sana.

Je, hili nalo tatizo? Ni nini chanzo?

Nahisi jinsia ya 'ME' na 'KE,' kama- PAKA- na -PANYA-.
Sasa wewe kwa nini unataka kununua gazeti jioni?
 
Back
Top Bottom