Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwa kifupi ni kwamba Single Mother wanasababishwa na Wanaume wanaokwepa majukumu yao, chanzo cha Single Mother ni Wanaume.
Ni mala chache sana wanaume kuwatamkia wapenzi wao kuwa wanataka kuanzisha familia, hasa ambao hawapo tiali kuwa baba kwa wakati huo.

U single mama unachangingiwa pakubwa na wanawake ambao hawapo makini na kukosa "FOCUS" katika maisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu siyo kwamba tunawasema vibaya, tunataka kuona hasa kwa upande wenu mukibadilika.
Kubadilika vipi sasa?

Kwani hizo mimba wanazinywa kwenye maji?mkiwapa mimba msiwaache ama kama huna mpango wa kuzaa nae tumieni condom

Badilikeni aseee
 
Kubadilika vipi sasa?

Kwani hizo mimba wanazinywa kwenye maji?mkiwapa mimba msiwaache ama kama huna mpango wa kuzaa nae tumieni condom

Badilikeni aseee
Je wewe kama mwanamke nafasi yako katika hili ikowapi? Maana naona unazungumzia upande mmoja.
 
Sababu ni wanawake wenyewe

Sasa wewe una miaka 30 unaenda chukua kibabu cha miaka 80 uko kimekuzidi zaidi ya miaka 50

Kwanini kisikufie ndani ukabaki single mother
 
We jamaa bhana

Mbona hata wewe hapo juu umeandika kwa upande mmoja?
Lakini kunasababu niliyoitaja, MTEGO WA MIMBA. Mwanaume hayuko tayali kuanzisha familia na mwanamke, halafu yeye anaenda kumutegeshea mimba.

Huoni kama hilo ni tatizo la mwanamke?
 
Lakini kunasababu niliyoitaja, MTEGO WA MIMBA. Mwanaume hayuko tayali kuanzisha familia na mwanamke, halafu yeye anaenda kumutegeshea mimba.

Huoni kama hilo ni tatizo la mwanamke?

Mwanaume mwenye akili asiyeongozwa na nyege anatakiwa kutumia condom kama hana malengo na anayemphuck

Hauko tayari kuanzisha familia halafu unaenda kavu kavu?
 
Mimi nafikiri ni ujinga na ulimbukeni tu wa mapenzi kwa mfano mtu unabebeshwa mimba na mwanaume ambaye hajakuoa anakwambia zaa then ndio tutaoana na wewe bila kujiongeza unakubali hivi hufikirii nje ya box kuwa kipi kinawashindwa kuoana sasa hivi ambacho baadaye ukizaa ndio kitawezekana? Wanawake sijui ndio kusema ni dhaifu au kuamini sana wanaume jambo ambalo linawaponza daily unaachwa anakuja kuolewa mwingine unatekelezwa na mwanao.
 
Hakuna cha udhaifu wala nini
Huo wote ni umalaya mtupu! Na kukosa makuzi mazuri
 
Ongezeko la single mothers limesababishwa na zinaa,sasa hivi iko nje nje,mapenzi kabla ya ndoa imekuwa ni jambo la kawaida sana,ukiachilia mbali wale ambao ni sinlge mothers kwaajili ya ndoa kuvunjika au kufiwa,tatizo ni hawa wa nje ya ndoa ni majanga ndio walio wengi zaidi...
 
Naombeni muwaache hawa wamama waishi kwa amani mwaka huu, maan kila kona singo mama, singo mama dah ebu muwaache.

Nafurahi wakiendelea kusemwa, wamekuwa insecure na wengi ni desperate hivyo tunawala kirahisi sana!
 
Back
Top Bottom