Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 779
- 4,564
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu siyo kwamba tunawasema vibaya, tunataka kuona hasa kwa upande wenu mukibadilika.Hahahah huku single mothers kule bikra
Jinsia ya kike JF inapata tabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu siyo kwamba tunawasema vibaya, tunataka kuona hasa kwa upande wenu mukibadilika.Hahahah huku single mothers kule bikra
Jinsia ya kike JF inapata tabu sana
Ni mala chache sana wanaume kuwatamkia wapenzi wao kuwa wanataka kuanzisha familia, hasa ambao hawapo tiali kuwa baba kwa wakati huo.Kwa kifupi ni kwamba Single Mother wanasababishwa na Wanaume wanaokwepa majukumu yao, chanzo cha Single Mother ni Wanaume.
Kubadilika vipi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu siyo kwamba tunawasema vibaya, tunataka kuona hasa kwa upande wenu mukibadilika.
Mkuu, si kwamba tunawasema vibaya, wao ndo visababishi hasa kwa jambo hili kushamili.Naombeni muwaache hawa wamama waishi kwa amani mwaka huu, maan kila kona singo mama, singo mama dah ebu muwaache.
Je wewe kama mwanamke nafasi yako katika hili ikowapi? Maana naona unazungumzia upande mmoja.Kubadilika vipi sasa?
Kwani hizo mimba wanazinywa kwenye maji?mkiwapa mimba msiwaache ama kama huna mpango wa kuzaa nae tumieni condom
Badilikeni aseee
mama mwenye watoto/ mtoto ambae hana mumenini maana halisi ya " single mother "?
Je una hisi neno "mjane" linabeba maana ya kuzalishwa kwa kujitakia na kutelekezwa?mama mwenye watoto/ mtoto ambae hana mume
tusilefushe sana mada, single mother ni mama watoto ambae hana mume!Je una hisi neno "mjane" linabeba maana ya kuzalishwa kwa kujitakia na kutelekulezwa?
Lakini kunasababu niliyoitaja, MTEGO WA MIMBA. Mwanaume hayuko tayali kuanzisha familia na mwanamke, halafu yeye anaenda kumutegeshea mimba.We jamaa bhana
Mbona hata wewe hapo juu umeandika kwa upande mmoja?
Umeingiza hoja yako ya "wanawake wajane" kwenye mjadala huu, na sasa umeshidwa kuitetea.tusilefushe sana mada, single mother ni mama watoto ambae hana mume!
ova.
Lakini kunasababu niliyoitaja, MTEGO WA MIMBA. Mwanaume hayuko tayali kuanzisha familia na mwanamke, halafu yeye anaenda kumutegeshea mimba.
Huoni kama hilo ni tatizo la mwanamke?
Hakuna cha udhaifu wala niniMimi nafikiri ni ujinga na ulimbukeni tu wa mapenzi kwa mfano mtu unabebeshwa mimba na mwanaume ambaye hajakuoa anakwambia zaa then ndio tutaoana na wewe bila kujiongeza unakubali hivi hufikirii nje ya box kuwa kipi kinawashindwa kuoana sasa hivi ambacho baadaye ukizaa ndio kitawezekana? Wanawake sijui ndio kusema ni dhaifu au kuamini sana wanaume jambo ambalo linawaponza daily unaachwa anakuja kuolewa mwingine unatekelezwa na mwanao.
Hapa kwenye makuzi napo panachangia kwa kiasi kikubwa sana malezi yako ya leo ndio yataamua kuwa utakuja kuwa mtu wa namna gani mbeleni.Hakuna cha udhaifu wala nini
Huo wote ni umalaya mtupu! Na kukosa makuzi mazuri
KabisaKwa kuongezea tu mabinti wameasi imani zao na kutokua na hofu ya MUNGU kitu kinachozalisha ujinga ,upumbavu kujiona n.k n.k hali inawapelekea kuzalishwa na kuachwa pekee yao
Hapo mwisho umemalizia vizuri sana
Naombeni muwaache hawa wamama waishi kwa amani mwaka huu, maan kila kona singo mama, singo mama dah ebu muwaache.