Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Tena wanaishi kwa mauzo ya nyapuKwahiyo Mzee wetu baba yetu UNATAKA VIJANA WAOE SINGLE MAZA?
Yaani unataka wanunue viwanja vyenye migogoro?
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wanaishi kwa mauzo ya nyapuKwahiyo Mzee wetu baba yetu UNATAKA VIJANA WAOE SINGLE MAZA?
Yaani unataka wanunue viwanja vyenye migogoro?
#YNWA
Mimi napinga suala lenu la kukataa ndoa, jitahidini kuoa.Kwahiyo Mzee wetu baba yetu UNATAKA VIJANA WAOE SINGLE MAZA?
Yaani unataka wanunue viwanja vyenye migogoro?
#YNWA
Hawa single mother bebiz ni hatariPole sana mkulungwa bila shaka ushachezea za uso tuishi nao kwa akili sana hivi viumbe
Hey bikra Kijiji gani hicho huyo la 7 au elimu ganiMimi napinga suala lenu la kukataa ndoa, jitahidini kuoa.
Mnapotaka kuoa washirikisheni Wazee wenu, maana huko Vijijini Wanawake ambao hawajatumika sana wapo. Na ukiwa na bahati unapata hata Bikra
Napinga #Kataa Ndoa
Hatujawaambia muoe Single Mothers, tunachopinga ni nyie kukataa kuoaTumbili wamejaa sana tunzeni watoto wenu hadi waolewe, mmeacha wanazagaa hawana bikra nani awaoe labda chui wenye njaa ndio mlo wao. Kataa ndoa ni kampeni tukufu
Unavyosema hivyo umeassume vitu vingiHivi hii Kampeni ya Kataa ndoa ingefanywa na Wazee wenu, vipi ninyi mngezaliwa kwenye hizo familia?
Kuna mambo sio ya kuya-entertain ikiwemo ndoa.
Kuwa na taasisi imara ya familia inahitaji kila kijana kuoa.
Muda wa kuoa ukifika niletee kadi nitakuchangia
Sisi Wazee wenu tusingependa kuwaona vijana wetu mnapotea.
Please, rudini kwenye misingi ya imani zenu za kidini.
Dini zote zinakataa Uzinzi na kujichukulia sheria mkononi( Kujichua) 🤪
Single with no kids but also schooling au fellowship ya wanaotaka waume?Hatujawaambia muoe Single Mothers, tunachopinga ni nyie kukataa kuoa
Mbona ukienda fellowship hapo Mlimani unakutana na Warembo wengi single, si muwaoe hao
🤣Hao mademu ambao jumamosi wanakesha kitambaa jumapili wanaenda kanisaniHatujawaambia muoe Single Mothers, tunachopinga ni nyie kukataa kuoa
Mbona ukienda fellowship hapo Mlimani unakutana na Warembo wengi single, si muwaoe hao
Una akili sana🤣Hao mademu ambao jumamosi wanakesha kitambaa jumapili wanaenda kanisani
Kwani unapotaka Kuoa unaoa Mke au unaoa Elimu yake na Kazi yake?Hey bikra Kijiji gani hicho huyo la 7 au elimu gani
Ndoa na kuoa ni vitu vinapaswa kufutwa kisheria ni ushetaniUnavyosema hivyo umeassume vitu vingi
1. Kila mtu ameomba kuzaliwa(hamna aliyeomba)
2. Kila mtu anajali dini(although dini haijalazimisha mtu kuoa)
3. Tupo mwaka 200 BCE (wakati dunia ya saa hivi imebadilika)
Divorce rates zipo at 70% duniani na 80% of divorce zinasababishwa na mwanamke na mwanamke anafaidika na divorce 90% of the time. Asa we Kama umeoa miaka 80 ambapo mke wako Hana Instagram Hana elimu Hana kazi umeweza kumweka ndani na kumtunza na kuzaa watoto nae, all power to u ..Ila kwa dunia ya saa hivi wanaume wengi no matter how good u r wanalizwa na ndoa, mfano mzuri Steve Harvey. So benefit ya kuoa kwa mwanaume ukitoa hizi za kufikirika cjui dini sijui jamii, real benefits ni ndogo sana na it's a very risky business
Ndiomana kuoa zama hizi ni ushetani kataa ndoa ni kauli njema ya sisi Mitume na Manabii wa sasa.Kwani unapotaka Kuoa unaoa Mke au unaoa Elimu yake na Kazi yake?
Mnapoangalia hayo ndiyo mnapata Wanawake wasiotulia kwenye ndoa.
Kwani wewe unashindwa kumtunza huyo Mkeo hadi utake Kumwoa huyo mwenye Degree Mbili?
Sasa atakulelea watoto wako saa ngapi iwapo wewe ukienda Seminar Mwanza naye anaenda Seminar Arusha?
NAKAZIA KWA NGUVU KABISAUnavyosema hivyo umeassume vitu vingi
1. Kila mtu ameomba kuzaliwa(hamna aliyeomba)
2. Kila mtu anajali dini(although dini haijalazimisha mtu kuoa)
3. Tupo mwaka 200 BCE (wakati dunia ya saa hivi imebadilika)
Divorce rates zipo at 70% duniani na 80% of divorce zinasababishwa na mwanamke na mwanamke anafaidika na divorce 90% of the time. Asa we Kama umeoa miaka 80 ambapo mke wako Hana Instagram Hana elimu Hana kazi umeweza kumweka ndani na kumtunza na kuzaa watoto nae, all power to u ..Ila kwa dunia ya saa hivi wanaume wengi no matter how good u r wanalizwa na ndoa, mfano mzuri Steve Harvey. So benefit ya kuoa kwa mwanaume ukitoa hizi za kufikirika cjui dini sijui jamii, real benefits ni ndogo sana na it's a very risky business
Most of single mother wakiwa na watoto wanaona wapo alone sana nd ndicho kinachowaumiza ,Dada mmoja alikuwa na bwana wake mwarabu muislamu. Alitembea nae mpaka ikafikia kubeba mimba. Yule mwarabu aliikataa mimba ya huyu dada na dada akabeba ujauzito mpaka alipopata mtoto africast wa kiarabu..
Mwarabu hakujali. Aliendelea kumkataa dada huyo na Alimtelekeza mtoto.
Dada akakomaa kulea mwenyewe kwa kuunga baadae akaja kupata bwana wa kichaga mkristo. Mchaga huyu akanogewa na penzi la huyo dada na kufikia dada huyo wa kiislam kubadili dini na kufunga ndoa ya kikristo na huyo bwana mchaga.
Dada na mwanae wakawa wote wanaishi na mume wake huyo mchaga. Na alikuwa anamuhudumia mtoto na kumsomesha bila ubaguzi wowote.
Baada ya kuishi miaka kazaa, bahati mbaya huyo mtoto wa dada aliyezaa na mwarabu akafariki dunia.
Msiba ukafanyika nyumbani kwao kwa taratibu za kikristo kwa kushirikiana na kanisa ambalo walikuwa wanasali . Maana hata mtoto alikuwa anaenda kanisani na wazazi wake baba na mama.
Ghafla siku ya mazishi dada akabadilika na kugoma mwanae asizikwe kwa taratibu za kikristo azikwe kiislamu. Maana hata kama baba yake alimtelekeza haiondoi uhalisia kwamba mtoto huyo mwarabu baba yake ni muislamu.
Bonge la seke seke likatokea msibani
Tazama video mwenyewe.
HII IMENIFANYA NIWAELEWE WANAUME WANAOKATAA SINGLE MOTHER
Kwani huwezi kuoa huyo Mwanamke mwenye Elimu kubwa lakini bado ukamfungulia miradi aisimamie akiwa hapo hapo nyumbani?Unavyosema hivyo umeassume vitu vingi
1. Kila mtu ameomba kuzaliwa(hamna aliyeomba)
2. Kila mtu anajali dini(although dini haijalazimisha mtu kuoa)
3. Tupo mwaka 200 BCE (wakati dunia ya saa hivi imebadilika)
Divorce rates zipo at 70% duniani na 80% of divorce zinasababishwa na mwanamke na mwanamke anafaidika na divorce 90% of the time. Asa we Kama umeoa miaka 80 ambapo mke wako Hana Instagram Hana elimu Hana kazi umeweza kumweka ndani na kumtunza na kuzaa watoto nae, all power to u ..Ila kwa dunia ya saa hivi wanaume wengi no matter how good u r wanalizwa na ndoa, mfano mzuri Steve Harvey. So benefit ya kuoa kwa mwanaume ukitoa hizi za kufikirika cjui dini sijui jamii, real benefits ni ndogo sana na it's a very risky business
NAKAZIANdoa na kuoa ni vitu vinapaswa kufutwa kisheria ni ushetani
Mnapokataa Kuoa, hao watoto mtazaa na nani?Ndiomana kuoa zama hizi ni ushetani kataa ndoa ni kauli njema ya sisi Mitume na Manabii wa sasa.
Hakikisha mnachunguzana kabla hujaamua kumvisha Pete ya Uchumba.🤣Hao mademu ambao jumamosi wanakesha kitambaa jumapili wanaenda kanisani