Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

sasa kwa nini u-date matatizo wakati wanawake wasio na watoto ni wengi sana?

Siongle mama for single baba, angalau wana common story ya kuongelea.

Nao wana shida pia ingawa sio wote!
Kunakuwa kuna competition ya aina fulani ambayo huendeshwa kisirisiri kiasi kuwa mmoja huona mtoto wake ndo bora zaidi.
Kuna pia mifano!
Rafiki yangu ana watoto kadhaa! Kwa kuona kuwa watoto wake wanaweza kupata shida akaamua kuoa single mother! Alimweleza ukweli kuwa ana watoto kadhaa!
Yule mama alikuwa na mtoto 1 wa ka miaka 6 hivi. Mwanaume alimchukua mtoto kama wake kabisa! Anampeleka shule anaenda kumchukua hasa ikizingatiwa kuwa huyu mtoto alikuwa wa kike!
Watoto wa huyu mwanaume walikuwa nearly the same age na wakati baba yao anaoa walikuwa boarding school. So maisha raha tu. Shida pale binti alipomaliza darasa la 7! Alipelekwa shule ileile ya wale watoto wa mwanaume walikuwa wanasoma.
Wakiwa shule binti wa mama anakuwa na vitu vingi tofauti na wale wa mwanaume! Anakuwa na pocket money kuliko wale wa mwanaume. Anaye lipa ada ya watoto watatu wote ni mwanaume! Watoto wakajiuliza huyu mwenzetu kulikoni na tunatoka nyumba moja. Wakaweka wazi kwa wazazi likizo moja! Hapo ndo waliaribu kabisa! Mama hawataki ooooooh wanamwonea wivu as mtoto wake anajua kutunza vitu hata hela anazopewa anahifadhi so wanamwonea wivu tu! Baba akaanza kujumlisha 2 na mbili! Suluisho alilooona (sijui kama alikuwa sahihi) naye akaanza kuwaongezea watoto wake kwa siri! Mashindano yakaendelea mwisho wenyewe kwa wenyewe watoto wakaanza kutimuana! Mapenzi yamezidi kwa watoto na wameamua kukosana kisa more attention to kids! Silikatai hilo ila nafasi ya baba/mama nayo inatakiwa ipewe priority!
Hivi niongeavyo kuna mpasuko mkubwa sana kwa hawa wanandoa! watoto wa baba wanataka mtoto wa mama aende kwa baba yake. Najiuliza wanafikiri watabakia salama wakibakia na huyu mama peke yao!
 
Kwa African family rafiki, wangu ndio ukweli mchungu.

Mwisho wa siku mahusiano yanakuwa ni yenu wenyewe. Na hamna kitu kizuri kama kupata mwenzi ambae anakulinda na familia yake kama ambavyo Franky anasema "sio nduguze watakaokuwa na wewe". Raha jipe mwenyewe mama, usisubiri wakwe+mawifi waamue.
 
Last edited by a moderator:
Kijana wa miaka 30 akadate mdada wa miaka 29 mwenye mtoto wa miaka 3, makuzi yenu ya Mwaka 1947 yanasemaje????

Frankly speaaking, mtu ambaye hajao au kuzaa anachukuliwa kwamba ni mtoto....ndiyo maana walitushauri kuwa watoto wacheze pamoja na watoto nao vile vile....

Babu DC!!
 
Mwisho wa siku mahusiano yanakuwa ni yenu wenyewe. Na hamna kitu kizuri kama kupata mwenzi ambae anakulinda na familia yake kama ambavyo Franky anasema "sio nduguze watakaokuwa na wewe". Raha jipe mwenyewe mama, usisubiri wakwe+mawifi waamue.
Mupe ukweli bana, muwambie usimufiche...mi ndo maana niliwaambia home nikioa mke atakuwa mke wangu mimi sio mke wa familia, so sitaki kusikia maneno mingimingi...
 
Mupe ukweli bana, muwambie usimufiche...mi ndo maana niliwaambia home nikioa mke atakuwa mke wangu mimi sio mke wa familia, so sitaki kusikia maneno mingimingi...

Mungu akikuchukua watamgombea kama mpira wa kona
 
Eeka Mangi,

Ni kweli kuna complications zake katika hili kama ulivyolielezea na ni kweli kuwa zipo ambazo zinafair vizuri tu. Ila nionavyo mimi ni kuwa sio kitu rahisi kama tunavyo kichukulia wengi wetu. Mtu ukishakuwa na mtoto/watoto ni ngumu sana kupata mwenzi ambaye atakuwa genuinely in love na mtoto/watoto wako ni lazima mzani utaegemea mahali cha muhimu ni kwa wote wawili kuwa makini. Wewe mama kuhakikisha unaelewa uzito wa mapenzi yenu lakini pia unaelewa nafasi ya mwanao katika mahusiano hayo. Na kama baba naye atakuwa na wanae ni vema mkaweka misingi na principles zinazoeleweka (na mstick kwazo) kwa wote. Inahitaji mapenzi ya kweli na si kuwa pamoja kwa sababu pengine unahitaji comfort au unaona na wewe unastahili kuwa na mwenzi.
 
Sasa hapo Babu unakuta mdada ana 38+ ana date na mvulana wa 27 kwa hiyo hawa bado watoto kwa vile hawajaoana?


Kwa wale wa enzi zetu zile, hata kama ungekuwa na miaka 60 na bado ni mtoto......

Mtu unaacha kuwa mtoto (kwa mjibu wa enzi zetu) pale unapoingia kwenye ndoa bila kujali umri!!
 
nilikua na tabia ya kumletea zawadi mtoto mmoja ..ambaye mama yale aliachana na mumuwe...tabia ikazidi nikawa nampeleka katika pembea...mwisho wa siku yule mama alinitamkia kuwa.."laiti yale nayomfanyia yule mtoto angefanya baba yake angefurahi sana"....baada ya miezi kadhaa sio siri tuka date...nakubaliana na@ Lara 1 kwa kiasi fulani...
 
sun wu,

Kaka sina shida na pale mahusiano ambayo yamekua rasmi.Kama mahusiano yamekua rasmi na yamehalalishwa sina issue na hilo.Nilichokuwa nakisemea ni ile hali uhusiano hauko rasmi (unaweza vunjika muda wowote)then una resume family responsibilities.Kamahujafikia hatua hiyo ,huwezi kuingilia masuala ya kifamilia hata uwe na roho ya upendo kiasi gani.Ni kumshauri huyo mama kulipeleka suala kwa wakubwa( ndugu wa karibu wa mume,au mke kuweza kuli handle.Kwani kuresolve issue za watoto kunahitaji pia, kumshirikisha na huyo mtoto.Sasa kama hutambuliki kwao utashughulikia kama nani?
 
Kama Mungu yu upande wangu naamini atanishindia vita mbele ya watesi wangu, Amina!

India ukioa mke anakuwa wa familia mnakula wote kaka, dogo, hata dingi nae anakanyaga twende
 
Mupe ukweli bana, muwambie usimufiche...mi ndo maana niliwaambia home nikioa mke atakuwa mke wangu mimi sio mke wa familia, so sitaki kusikia maneno mingimingi...
Wewe unafaa sana kwa matumizi ya mwanamke anaefaa kufanywa mke.
 
Baelezee Mdogo wangu, hasa huyo babu yako Dark City anayetuona kama scrapper. Tena mkumbushe kuhusu wale 'mabinti' wanaotoa mimba kila kukicha ili kumaintain 'usichana'.

Teh teh teh...... Me huwaangalia na kubaki kuwacheka kimoyomoyo.... Jaribu kufanya kautafiti kadogo kati ya wasichana unaowafahamu, je ni asilimia ngapi hawajawahi toa mimba utaja nambia. Asilimia kubwa wamezitoa sana tena si chini ya mbili ila bado wanajiita wasichana!!!!!! Pole yenu wanaume.
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh; mara tunaambiwa tuko vulnerable as if tunapick tu kila kinachosimamisha. LOL
unakumbuka mwaka huu tumeaamuaje kwa yeyote anayegusa anga zinazotuhusu negatively!NAKUANGALIA UNAVOKEEP U WORDS!hakuna kukubalia hayo makitu ya negativity
 
India ukioa mke anakuwa wa familia mnakula wote kaka, dogo, hata dingi nae anakanyaga twende
Asa sisi bado tupo Nyerereland? Huko Gandhiland wana mambo yao na sisi yetu!! Au sio Fidel80 ??

 
Last edited by a moderator:
Frankly speaaking, mtu ambaye hajao au kuzaa anachukuliwa kwamba ni mtoto....ndiyo maana walitushauri kuwa watoto wacheze pamoja na watoto nao vile vile....

Babu DC!!

Uzee unakupeleka pabaya. ina maanisha miaka haiangaliwi? mtu hajaoa ana miaka 35 ni mutoto?
 
Baelezee Mdogo wangu, hasa huyo babu yako Dark City anayetuona kama scrapper. Tena mkumbushe kuhusu wale 'mabinti' wanaotoa mimba kila kukicha ili kumaintain 'usichana'.


Hivi kweli mimi Babu mzima nimesema hayo Kaunga??

Hata hivyo, naamini kuna mahali wewe mwenyewe unarudi kile nilichokisema...eg post No. 78.... na comments za MwanajamiiOne,

Hata hivyo, najua kuna mahali utanielewa tu kwamba kwa uzoefu ambao mother au father anakuwa nao, si rahisi kuokota okota watoto au mtu ambaye hana dira wala mwelekeo.

Na ndiyo maana nikasema kuwa, wazee wetu walitushauri kwamba watu wazima waongee, wanywe na kucheza pamoja na watoto vile vile....

Hata hivyo, katika maisha kuna exceptions nyingi and that cannot be ruled out!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kauli zao huwa hivi marehemu alikua hafanyagi hivyo
 
Back
Top Bottom