Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Hahaha maharage ndo mboga kuu ya wakinga,vp umekua sasa tuambie ulaji wako upoje sasa unajitegemea??
 
Kweli kabisa mkuu
Mtu anaamini uchawi ila hana lolote
Au kutwa kuwasema watu hata kama mama wa mtu alikufa kwa mda wake watasema ni kafara

Huyu huyu anaenisema humu nikimpa hela anitafutie kitu atalala nazo 😄
 
Hii nayo ni sababu ya msingi sana ambayo haisemwi. Uchawi usukumani karibu kila familia inamganga na kila kitu hata kuandaa shamba lazima waloge. Misukule ya kutosha lakini wengi wanaungaunga tu.
Wasukuma madoni TZ yote, zunguka mikoani ujionee si kukariri hapo usukumani tu, Mtu mmoja tu ana eka 500 za mashamba, ng'ombe zaidi ya 6000, nyumba za kupanga 60, bado ni maskini?
 
Kwanza kuwazungumzia wakinga angalau uwe umeishi hii mikoa Njombe, Mbeya kama sivyo kwa asilimia kubwa utakuwa unajidanganya kuhusu wakinga.

Nakumbuka sana maisha ya Mbeya na Njombe ila wakinga😎
 
Kuna rais aliyeasisi ukabila kama marehemu magufuli=msukuma?
 
Safari njema Berlin na Amsterdam ya Buza Makangarawe.
 
mim nikajua unetuma picha ya wahenga wakiwa wabatoa kafara au wanalala kwenye chumba cha stoo kumbe maneno tu😂
Ulitaka niwapige picha wakilala kwenye maboksi? Je wakiniona si wangenitoa kafara hata mimi
 
Kwani anayetambia kwenfa Amsterdam na Berlin ni nani? Si ni wewe!! Mimi nimekupongeza tu kwa kusafiri kwa ndoto
Kwa wewe ni ndoto ila mimi naishi kiuhalisia

Usiumie kwa kukosa bali umasikini ni Laana, na inakufanya uwe na roho mbaya
Relax mkuu usione kila anae comment humu ni jirani yako
Tembelea forums za Dunia utajifunza uhalisia hata kama ni masikini usiumie kwa waliokuzidi bali pambana na wewe ufike mahali
 
Ungekuwa unaishi huko usingekuwa limbukeni wa kujisifia kwenye mitandao. Pimbi uko Kigogo hapo unapigwa na mafuriko tu
 
Kwanza kuwazungumzia wakinga angalau uwe umeishi hii mikoa Njombe, Mbeya kama sivyo kwa asilimia kubwa utakuwa unajidanganya kuhusu wakinga.

Nakumbuka sana maisha ya Mbeya na Njombe ila wakinga😎
Walioishi iringa nao hawawafaham wakinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…