Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Nilijua tu kama utamtaja Dr Dau
 
Nchi italipuka.. tunaanza na wazee wote watakao bariki huu upuuzi
 
Wakati wa jk hata mbowe alikuwa na fungu kwa rostam na mkono kwahyo sio zitto tu ni kila mtu
 
Zanzibar hawana chao ukiona wapinga muundo wa muungano wanaletwa kushtakiwa bara ujue hata urais wa muungano si haki yao bali ni hisani tu!!
Nawaza tu
 
Kusema ukweli Jafo hana madhara yoyote kwa wasaka tonge. Wenye madhara ni Mwigulu na January Makamba..hawa vijana kusema ukweli walishatengeneza mitandao yao tangu 2015, Magu anawahofia sana. Ndio maana Mwigulu hata asifie vipi kwenye uwaziri harudi.
Rais ajaye ni Kalemani au Bashite. Amini usiamin!
 
Kwahiyo kinachoendelea hapa ni kwamba wezi hawamtaki mwizi mwenzao!??

Mnisamehe kwa huu mfano japo unaweza kuwaudhi wengine ila ni hali halisi. Mbwa jike akiwa kwenye joto, madume huumana na kutoana ngeu hadi joto liishe. Wapo wanaoonjeshwa lakini kuwa wengine huishia kuugulia vidonda tu.
divyo ilivyo kwa waroho wa madaraka. Watatafuta kila mbinu kuondoana mpaka abaki mmoja. Poleni mnaoutamani huo uongozi wa juu hata kwa kuua
 
Si aende tu akalipe deni kulingana na makubaliano ya mkopo. Hayo mengine ya sijui kuchafuana na political games yatakuwa historia.
 
unatisha bababakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mbona mambo yapo wazi kabisa walianza na membe sasa ni january wakitoka hapo wataangalia mwingine ambae ni tishio
 
Kwa nini unarudia rudia hilo la Uzanzibar? Unadhani itakuwa zamu yao?
 
Kwa nini Watanzania tunatumia nguvu nyingi kwenye kujadili watu badala namna ya kushiriki kimatendo kwenye malengo ya nchi kuelekea uchumi wa kati?

Mfano mifuko ya plastic imepigwa marufuku tunatumiaje hiyo fursa ya vifungashio ambavyo si plastic?
 
Hamjua RC Kama hamjui bac NI Anthony mtaka
 
Mara mia january makamba, ila si bashite dah wakitaka tu kuiaribu tanzania basi wamweke makonda
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lumumba buku7 ni ugonjwa mbaya sana
Du kweli wewe ni nanga! Umejiunga hapa lini hujui hata members wa Lumumba! Wewe endelea kushabikia kila mtu unayedhani anatofautiana na utawala wa sasa bila kutumia bongo yako lakini utaishia kuwa disapointed tu!
 
Du kweli wewe ni nanga! Umejiunga hapa lini hujui hata members wa Lumumba! Wewe endelea kushabikia kila mtu unayedhani anatofautiana na utawala wa sasa bila kutumia bongo yako lakini utaishia kuwa disapointed tu!
Hizi ndiyo dalili na athari za ugonjwa uitwao Lumumbabk7. Pole sana mkuu, utapona tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…