Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Nilijua tu kama utamtaja Dr Dau
Ebu tuweke ushabiki kando,hivi January kasingiziwa au kweli kachota mifedha NSSF tena kwa mgongo wa huyu ni mwenzetu.

Jiulize ni kwanini enzi za Dr Dau Makamba na akina Zitto walikuwa wakifaidi hazina ya NSSF ?.

Huyu Jaffo ni nani nchi hii jafanyanini zaidi ya kuhamia ofisi za mabati Dodoma !.
 
Uongo?

Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.

Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.

Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza

Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.
Nchi italipuka.. tunaanza na wazee wote watakao bariki huu upuuzi
 
Ebu tuweke ushabiki kando,hivi January kasingiziwa au kweli kachota mifedha NSSF tena kwa mgongo wa huyu ni mwenzetu.

Jiulize ni kwanini enzi za Dr Dau Makamba na akina Zitto walikuwa wakifaidi hazina ya NSSF ?.

Huyu Jaffo ni nani nchi hii jafanyanini zaidi ya kuhamia ofisi za mabati Dodoma !.
Wakati wa jk hata mbowe alikuwa na fungu kwa rostam na mkono kwahyo sio zitto tu ni kila mtu
 
Jafo ni Muislam lakini Sio Mzanzibar.

Jafo hana migogoro hata na wapinzani.

Angalau Jafo ameonyesha umahiri mkubwa pale Tamisemi.

Nasadiki unayoyasema isipokuwa nawaza, Je! Wazanzibar watabembelezwaje?

Naona mtu hatari kwenye mipango ya 2020 au 2025 ni Hussein Mwinyi.

Kwanza huwezi kumchafua, pili haonyeshi kuwa na tamaa ya madaraka,tatu hana mgogoro na wapinzani.

Ni MZANZIBARA anayekubalika kote bara na visiwani.

Jeshi linamkubali amefanya kazi na na ma CDF watatu.
Zanzibar hawana chao ukiona wapinga muundo wa muungano wanaletwa kushtakiwa bara ujue hata urais wa muungano si haki yao bali ni hisani tu!!
Nawaza tu
 
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.

Source: Naiweka siri kwa sasa.
Kusema ukweli Jafo hana madhara yoyote kwa wasaka tonge. Wenye madhara ni Mwigulu na January Makamba..hawa vijana kusema ukweli walishatengeneza mitandao yao tangu 2015, Magu anawahofia sana. Ndio maana Mwigulu hata asifie vipi kwenye uwaziri harudi.
Rais ajaye ni Kalemani au Bashite. Amini usiamin!
 
Kwahiyo kinachoendelea hapa ni kwamba wezi hawamtaki mwizi mwenzao!??

Mnisamehe kwa huu mfano japo unaweza kuwaudhi wengine ila ni hali halisi. Mbwa jike akiwa kwenye joto, madume huumana na kutoana ngeu hadi joto liishe. Wapo wanaoonjeshwa lakini kuwa wengine huishia kuugulia vidonda tu.
divyo ilivyo kwa waroho wa madaraka. Watatafuta kila mbinu kuondoana mpaka abaki mmoja. Poleni mnaoutamani huo uongozi wa juu hata kwa kuua
 
Si aende tu akalipe deni kulingana na makubaliano ya mkopo. Hayo mengine ya sijui kuchafuana na political games yatakuwa historia.
 
Uongo?

Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.

Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.

Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza

Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.
unatisha bababakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mbona mambo yapo wazi kabisa walianza na membe sasa ni january wakitoka hapo wataangalia mwingine ambae ni tishio
 
Jafo ni Muislam lakini Sio Mzanzibar.

Jafo hana migogoro hata na wapinzani.

Angalau Jafo ameonyesha umahiri mkubwa pale Tamisemi.

Nasadiki unayoyasema isipokuwa nawaza, Je! Wazanzibar watabembelezwaje?

Naona mtu hatari kwenye mipango ya 2020 au 2025 ni Hussein Mwinyi.

Kwanza huwezi kumchafua, pili haonyeshi kuwa na tamaa ya madaraka,tatu hana mgogoro na wapinzani.

Ni MZANZIBARA anayekubalika kote bara na visiwani.

Jeshi linamkubali amefanya kazi na na ma CDF watatu.
Kwa nini unarudia rudia hilo la Uzanzibar? Unadhani itakuwa zamu yao?
 
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.

Source: Naiweka siri kwa sasa.
Kwa nini Watanzania tunatumia nguvu nyingi kwenye kujadili watu badala namna ya kushiriki kimatendo kwenye malengo ya nchi kuelekea uchumi wa kati?

Mfano mifuko ya plastic imepigwa marufuku tunatumiaje hiyo fursa ya vifungashio ambavyo si plastic?
 
Hamjua RC Kama hamjui bac NI Anthony mtaka
 
Mara mia january makamba, ila si bashite dah wakitaka tu kuiaribu tanzania basi wamweke makonda
 
bashite akiwa rais atadumu kwa miaka isiyozidi 3 tu wazee wa ngome wanaandaa uchaguzi, kwa sababu zifuatazo.

1. dogo ana dharau sana. mpaka muda huu anaowaheshimu ni rais, makamu na pm. pia bashiru na polepole.

anaowaogopa sana, ni mabeyo, kipilimba na cs.

akina sirro, wa magereza na wengine anaweza kuwaagiza wakamuwashie fegi. mawazir alishawaonya kuwa hata mabosi wanamtambua.

2. Daudi kichwani hana kitu. atakuwa anamlazimisha gavana na waziri wa fedha kuprint more money.

mfumo wa elimu utaporomoka sana. atajiona ubashite ndio njia kuu.

madhara.

chimwaga wakilazimisha mkoromije awe rais:-

a) kuna majenerali watajiuzuru na kukimbia nchi.

b)kuna mawaziri wenye akili timamu watapinga hadharani na kumuunga mkono mpinzani.

c) ni ktk kipindi hiki TISS itakuwa na uzalendo wa juu kabisa kumsaidia zitto kabwe awe rais, wakishindwa watatoroka nchi

na
d) uchumu utadhorota sana, ndipo wananchi wanawakamata washauri wa bashite na bashite na kumsukuma keko baada ya kuburuzwa mitaa ya area D na jamatini.

Shite hafai kuwa hata NW.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lumumba buku7 ni ugonjwa mbaya sana
Du kweli wewe ni nanga! Umejiunga hapa lini hujui hata members wa Lumumba! Wewe endelea kushabikia kila mtu unayedhani anatofautiana na utawala wa sasa bila kutumia bongo yako lakini utaishia kuwa disapointed tu!
 
Hizi ndiyo dalili na athari za ugonjwa uitwao Lumumbabk7. Pole sana mkuu, utapona tu.
 
Back
Top Bottom