mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Huyu alisha rehemika mkuu nearly miaka miwili sasaYuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alisha rehemika mkuu nearly miaka miwili sasaYuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
Kenneth MKapaWako wapi
Magesa Mulongo
Kenneth Mkapa
Dan Makanga
Felix Mkosamali
Charles Keenja
Hahaha Hongera mkuu ni mama wa watoto wangapiNipo mkuu nalea watoto.
Hahahahhaha!!!! The money makerWapi bilionea karamagi
Daaaa huyu ndugu alikuwa akitangaza kwa sauti ya upole sana!Yuko wapi Roy Mlaliki Maganga?
Fumo Felician yupo Mwanza. Anapatikana sana Kona ya Bwiru pale The Dreams Pub. Anapenda sana kucheza Pool Table.Wapo wapi ?
-Fumo Felician
-Gaudence Mwaikimba
-Razak Yusuf
-Idofonce Amlima
Ile ajali ya Isongole unatoka Tukuyu kuelekea Kyela.Yu wapi Winnifred Massako wa ITV alikua mshereheshaji mzuri sana wa matukio ya wiki hasa kwenye ile habari ya patrol tank lililoanguka kule Mbeya
Ushaondoka Sahara?Watatu.
Alifariki mkuu akazikwa dodoma alikua mwalim wa udsm baada ya kutoka radio oneYuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
Jairo tunakunywa nae bia jackies bar masaki mkuu ukipita mitaa ile utamkuta mkuuYuko wapi David Jairo?
Yuko mbagala kafungua kiwanda chake cha sabuni hizi za SIDOYu wapi Winnifred Massako wa ITV alikua mshereheshaji mzuri sana wa matukio ya wiki hasa kwenye ile habari ya patrol tank lililoanguka kule Mbeya
Kafariki akiwa mhadhiri pale udYuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
Mkosomali ni DC huko kusini kwenye korosho.. bila shaka.Wako wapi
Magesa Mulongo
Kenneth Mkapa
Dan Makanga
Felix Mkosamali
Charles Keenja