Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

ulizaliwa na huyo mama na baba yako wala hukuchagua kwanza, ulijikuta uko ni mtoto wao ....hakuna aliyeweza kuchagua wa kumzaa kwa iyo kumbeza mtu juu ya wazazi wake si hekima, ni ujinga, utoto na upuuzi usiolelezeka! HUENDA HUYO UNAEMDHANIA NI BABA YAKO SIO BABA YAKO

Wewe mbiga, hivi unajua kumfahamu baba yako aliyekuzaa ni swala la msingi? Au kwa kuwa unalipwa hizo 7,000 ndo inakubidi utetee hata ujinga. Okay, mwambie huyo bosi wako amtaje hata huyo "baba yake fake"... Ila siku nyingine usijipendekeze kujibu comments zangu. swaini mkubwa wewe.
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

Acha porojo zako kwenye suala la katiba rubbish
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

Tatizo lako huwa unakimbia kujibu hoja, unaanzisha mada na kukimbia nakushauri unapo anzisha uwe unakuwepo hapa hapa kujibu hoja na kujenga hoja.
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

Umeona kwa upeo wako kila kilichotakiwa kimebainishwa na tume? Tumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele,wanapendekeza Jaji ateuliwa na Rais wewe unaona kua sawa siyo? yapo na mengine mengi hayajakaa sawa.
 
Mtu jinga utamjua tu, watu tunajadili rasimu yeye anajadili watu. Namserukamba tu, ndio dawa yake. Serukamba weee!!! @nape
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

Viongozi wa Siasa wa aina yako ni janga kwa Taifa,nilitegemea utakuja hapa na uchambuzi makini lakini na wewe umekuja na mipasho kama wananchi wengine wa kawaida!

Wewe ni kiongozi mkubwa ndani ya Chama hii post haifanani na nafasi yako kwenye Chama!
 
hioongera nape... ni hawa hawa walikuwa wanapayukapayuka kila kukicha kuwa tume ina wajinga watupu hadi wakataka kujitoa kilichosaidia pro.baregu kuwa na msimamo na kuwaambia kuwa yeye hayupo kwa ajili ya chama yupo kwa ajili ya wananchi wa tanzania..wakikombakomba baada wakasema bado tunatafakari kama tujitoe au la... yani NAPE leo umewagusa panapowasha yani wanarukaruka kinyesi chao wenyewe....... yani wafuasi na viongozi wa chadema wote ni jambo ndogo hawajuei waendako wala watokako..sasa mnatoa povu la nini kwani anachoongea NAPE ni uongo au si ndo nyie mwanzo hadi mwisho tume hovyo leo imetoa rasimu safi menooo kelllelee safiiiiiiiiiiiiiiiii ...hovyo kabisa chadema
Hujui hata unachoshabikia katiba mpya ilikuwa kwenye ilani ya Chadema, CCM wamekuja kulazimika kwa pressure za Chadema na Jukwaa la Katiba kwa hiyo chochote watakachokifanya CCM bado wako kwenye premises za Chadema.
 
Wamejificha porini kuficha nyuso zao kwa aibu kuu waliyopata single ya katiba imeisha jana hawana jipya tena.

Mkuu sometime uwe una behave basi, hata kama ni mahaba ya chama chako this is too much. Usiruhusu muwekezaji kwenye ubongo wako.

Hivi unajua hiyo rasimu upande wa tume huru ya uchaguzi, imependekeza iitwe tume huru na sio iwe tume huru, na wafanyakazi wa hiyo tume bado watachaguliwa na Rais? Wanao kwa baadaye watakulilia sana, ila sijui unanufaika vipi na huu mfumo.
Mfano Tushazoea kuona wanafunzi wakirudia mitihan(reseat) lakini awamu hii serikali ndo imerudia mtihani(reseat). Tafakari chukua hatua, change ni mimi na wewe?
 
Ama kweli wewe ukustahili cheo ulicho nacho .hivi ni umri au ni uduanzi tu ndio unakusumbua . Hufai kuwa hata balozi wa nyumba kumi wewe.
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

Kiongozi wa juu wa chama cha siasa, tena chama tawala badala ya kujadili hoja unaleta habari za mipasho kwa mambo makubwa ya nchi kama mchakato wa katiba, hakika unaidharirisha hata post yako uliyonayo ndani ya chama na kubomoa image ya chama chako kwa nchi, wananchi, wanachama wenu, wapenzi ya chama chenu nk.

Na mbaya zaidi andiko lenyewe lilivyokaa, lina mapungufu kibao ya kiuandishi, unaweza kuhisi limetoka kwa watu wa uswazi kama mimi mwenye shule ya viraka viraka. Soma penye red uone ulichoandika mkuu wa Itikadi na Uenezi, hakika mara nyingine aidha upunguze jaziba kwenye uandishi wako ama uwe makini kabla ya kuruhusu post yako kwenda hewani just take a time to revise. Ni hayo tu
 
Masaburi in action.Ubavicha umekujaje au mnaweweseka na Tembo mnaowaua,walong`olewa kucha na mnaowaibia?

Tatizo lako nikwamba unatumia kichwa kufugia nywere tu nasio kazinyengine. Unatakauniambie uyajui madhara ya Ubavicha?
 
Wapo hapa hapa wanauliza eti wametumia sh ngapi hahaha
 
Mkuu Nape, Dr Slaa na genge lake hawajui kitu chochote, hawajui mahitaji ya watanzania, wao walidhani katiba mpya inaundwa ili kuwafanya wao waingie Ikulu. Baada ya kuona wananchi wamegoma maandamano yao ya tar 30 April, sura zimewashuka kweli.
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

CCM watu wa ajabu sana........mwaka 2010 CHADEMA walipodai katiba mpya mliikataa katakata.......leo mnataka kujisifu:

Waziri Kombani adai wanaodai Katiba mpya ni watu 'wa barabarani'

Kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, kwamba wale wanaodai katiba mpya ni watu wa barabarani wasiokuwa na uelewa juu ya masuala hayo, hakika imetusikitisha sana. Kwamba sauti zinazoendelea kupazwa kuhusu umuhimu wa kuandika katiba mpya zinatoka katika vinywa vya watu wa kawaida wanaotembea kwa miguu, kwa kweli ni kauli tete inayofaa kulaaniwa na wananchi kwa nguvu zote.

Akizungumza na gazeti dada la The Citizen mwanzoni mwa wiki, waziri huyo pia alisema hakuna umuhimu wa kuwapo katiba mpya na kwamba Serikali inaridhika na utaratibu uliopo wa kuifanyia katiba hiyo marekebisho ya mara kwa mara pindi umuhimu wa kufanya hivyo unapokuwapo. Alisema kuwa Serikali haiko tayari kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya kwa sababu wanaodai kuwapo kwa katiba hiyo hawajapeleka maombi yao serikalini kwa maandishi.

Waziri Kombani alisema maombi hayo lazima yaainishe vifungu vya katiba ambavyo wanaona vina utata na wapendekeze vifungu mbadala, lakini alionya kwamba suala hilo lina gharama na sio kipaumbele cha Serikali wala wananchi. Alisema hayo mara baada ya kuhudhuria kikao cha baraza jipya la mawaziri kilichofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam, chini ya mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete.

Tumelazimika kuelezea kauli ya waziri huyo kwa kirefu ili kuwatoa mashaka watu wanaoweza kudhani kuwa labda kauli yake ilikuwa mawazo yake binafsi, hivyo ilitolewa kwa nia njema tu, au kwamba kauli hiyo aliitoa kwa niaba ya Serikali, kwa maana ya kufikisha ujumbe kwa watu na asasi zinazodai katiba mpya kwamba Serikali ya Rais Kikwete haitafanya kitu kama hicho, wala hailazimiki kufanya hivyo kwa sababu suala hilo halimo katika Ilani ya chama tawala kinachounda serikali hiyo.

Ni kauli inayofifisha matumaini ya Watanzania waliodhani kwamba huu ulikuwa wakati muafaka wa kusimika katiba mpya ambayo ingebeba matakwa ya wananchi wengi badala ya katiba ya sasa ambayo ni matokeo ya mawazo na matamanio ya kundi dogo la wakereketwa wa chama tawala. Ni kauli inayolenga kuihalalisha katiba iliyopo ambayo imewekwa viraka vingi kiasi cha kutokuwa tena na nafasi ya kupachika viraka vingine. Ni kauli isiyo na ujasiri wa kutenda, bali woga wa kufanya mabadiliko kukidhi matakwa ya wananchi walio wengi na kwa wakati uliopo.

Ni kauli yenye kubeba ujumbe mzito wenye shari na jeuri. Waziri anaposema kuwa kuandika katiba mpya hakuna maslahi kwa Serikali wala taifa, hana lengo lolote zaidi ya kuwadhihaki na kuwadhalilisha wananchi wenyewe ambao kwa muda mrefu sasa, wameonyesha kiu ya kupata katiba mpya yenye kukubalika kwa wengi na kuondoa uwezekano wa kufarakana katika masuala ya msingi, ikiwamo kupata viongozi waliotokana na ridhaa ya wananchi kutokana na kuwapo tume huru ya uchaguzi itakayosimamia chaguzi zilizo huru na haki.

Tumesema tena na tena kwamba suala la katiba mpya ni la Watanzania wote na kuwa nchi yetu haina njia mbadala ya kuhakikisha kuwa amani na utulivu vinakuwa vitu vya kudumu isipokuwa kusimika katiba mpya itakayokubalika kwa wengi. Ndio maana tumekuwa tukisisitiza kuwa ni vizuri Serikali ya Rais Kikwete ikajipanga sasa na kuanza mchakato wa kuhakikisha kwamba nchi yetu inapata katiba mpya ndani ya miaka mitano ijayo.

Hoja yetu daima imekuwa kwamba tusisubiri machafuko ndipo tutende, kwamba tutende wakati tukiwa bado wamoja, kwani kutenda baada ya kufarakana na kutengana au kutenda wakati nyoyo na mitima yetu ikiwa tayari imegubikwa na chuki, visirani na dhamira ya kuangamizana wenyewe kwa wenyewe, tutakuwa hatuwezi kutenda tena kwani hatutakuwa tena watu timamu bali wendawazimu.

Source: MWANANCHI 1st December 2010
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

Wasingepiga kelele tusingepata hii Rasimu ndugu yangu, Kelele za hao watu zilikuwa na mchango mkubwa sana, na hao watu najua hujataka kuwataja majina tu ni CHADEMA hawa, hivi nape unataka kuniambia kelele za chadema mpaka leo hujauona mchango wake katika Taifa hili? je hii Rasimu ingekuwepo kusingekuwa na Chadema hapa Nchini hebu acha ulevi wa mapenzi na Watawala.
 
Dah ! Kama Nape ameweza kuwa Katibu Mwenezi wa CCM , basi bila shaka Mimi kwa uwezo nilionao nadhani ninastahili hata kuwa Kiongozi wa UN aisee ! Uongozi siyo Mgumu bhana !
 
Nnauye ungetulia kwanza kwa sababu wale wajumbe mliowajaza ktk mabaraza ya wilaya kwa 95% nasikia kuna maelekezo wamepewa kuhusu mambo ambayo Tume imeyaacha kwa nchi washirika yakiwepo nafasi ya mkuu wa wilaya, mkoa nk.
Pili, nini msimamo wa ccm kuhusu hayo yalitolewa kwa
sasa?
Mkuu hivi huyu jamaa ni mwenezi wa chama au mwimba taarabu??hii katiba mpya kama ameanza hivi na hii mipasho wataepuka vp kwamba wao na yule mama aliechemsha kwa bankmoon kuwa wanataka kuibaka katiba na waifanye yao??hivi anajua hata kilicholalamiliwa kweli au anatoka mapovu tu hapa kama kawaida yake??nisiongee mengi sana maana nshakuwa mhanga wa ban.
 
Wewe mbiga, hivi unajua kumfahamu baba yako aliyekuzaa ni swala la msingi? Au kwa kuwa unalipwa hizo 7,000 ndo inakubidi utetee hata ujinga. Okay, mwambie huyo bosi wako amtaje hata huyo "baba yake fake"... Ila siku nyingine usijipendekeze kujibu comments zangu. swaini mkubwa wewe.
Akili za kibavicha hizi, mwenzako kakujibu kistaarabu wewe una mtusi, nyie ndio munao chafua hadhi ya jukwaa. Waombe Mods wafungue jukwaa lamatusi uweze kujimwaga vizuri nasisi wastaarabu tusipate kuuona huo Ubavicha wako.
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

POOR NAPE NNAUYE, mawazo haya sio ya kutolewa na mtu kama wewe. Anyway, uliyoandika ndio uwezo wako wa kufikiria. Sisi tunasoma kwanza hiyo RASIMU YA KATIBA, halafu baadae tunatoa mawazo kwa njia mbalimbali. Hebu soma Ibara ya 85 ya RASIMU kuhusu Maslahi ya Rais...halafu useme kama pako wazi hapo.
 
Back
Top Bottom